Watanzania tuamke tuache ushabiki usio na maana.Siku zote CDM wanamuita Lowassa fisadi kumbe kilichowabadilisha ni mpunga wa taasisi ya Lowassa na kumuona mungu sasa.NGOJA AJE MAGUFULI
Mwanza hii hapo we pimbi ndiyo ya CCM. Lowassa anaahidi alafu hatekelezi unamwagwa tu.
https://www.facebook.com/ramsoictTechie/videos/10203828303546311/
Mimi nina imani na Prof JPM, ninafahamu kaachiwa mazingira magumu sana ya kuwashawishi watanzania kwamba kazi anaiweza na ataleta mabadiliko stahili. Kama Magufuli kaweza kufanya kazi kikamilifu wakati yupo wizara ya ujenzi atashindwaje kufanya kazi kikamilifu akiwa yeye ndiyo amiri jeshi.
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA IBADA YA MAADHIMISHO YA JUBILEE YA MIAKA 125 YA INJILI YA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI MBUYUKENDA, TANGA TAREHE 05 JULAI, 2015
Mheshimiwa Baba Askofu, Dkt. Stephen Munga, Mkuu wa KKKT Dayosisi ya...
Alichokiongea Msuya ni sumu kwa TeamLowasa kwa wiki hii yote: "Membe nakuunga mkono, ccm ikichagua wenye madoa ni pigo kwa chama na watanzania kwa ujumla. Najua unatosha kwa vipimo vya kanuni kumi na tatu" Msuya.
Alichokiongea Msuya ni sumu kwa TeamLowasa kwa wiki hii yote: "Membe nakuunga mkono, ccm ikichagua wenye madoa ni pigo kwa chama na watanzania kwa ujumla. Najua unatosha kwa vipimo vya kanuni kumi na tatu" Msuya.
Mpokea rushwa siku zote ndiyo mwisho wa siku anafanya maamuzi ambayo yana athari mbaya kwa taifa au wananchi wake. Hao walopokea rushwa kutoka kwa ruge wengi wako serikalini ambapo wana ethics zinazowaendesha kwa maana kwamba wasipo fuatisha zile ethics tayari taifa linahujumika na athari zake...
Tusisikilize maneno kijuujuu tu bali tunatakiwa tusome between the lines. Hiyo kauli yake kumuunga mkono pro mwandosya mi naona ni sahihi kwa sababu kubwa mbili.
Ya kwanza ni katika mbio zozote lazma kutakuwa na mshindi na wale ambao watapoteza, sasa kama wewe ni mshindani basi lazma ukubali...
Inaonekana unatumika, ni vizuri lakini next time changanua unachoandika kabla ya kupost upuuzi. Kama uko makini membe alisema atapush kuleta mabadiliko ya sheria ya rushwa na sio kuibadilisha yeye mwenyewe. That is what great leaders do, they push for changes pamoja na wananchi and not dictate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.