Una kiwango kidogo sana Cha kufikiri!!
Pastor Tony amekosa hekima ,siyo yeye tu kijana aliyefanikiwa wapo wengi, pia siyo yeye tu mwenye mke wengi wanao wake zao.
Ilipaswa atii Sheria ya kuhusiana na viumbe wengine kwa UPENDO siyo majivuno na ujivuni wenye 0%degree of understanding.
Eti...
Well said!!! Mahala tulipopigwa kabisa ni kuruhusu vitabu vya dini viandike hekaya za chanzo Cha Binadamu kwa misingi yenye dhana dhania na wala siyo uhalisia wake.
Uzee na kifo ni halisi lakini KUMBUKUMBU na vibebeo vyake kwa JUMLA yake havizeeki wala kufa
Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi.
Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based)
Sasa!!!
Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini...
Hilo ndiyo janga kuliko UKOLONI wenyewe.. imagine MTU anaona chatgbt na AI ni mkombozi???? Are we seriously!!!!!! Ubongo kazi yake kuchakata ila sisi tunataka suluhu bila kujua how
Niwaslimu ndugu zangu hapa!! Kama Bado unayo pumzi basi vuta pumzi Kisha ipe akili kazi.
Nani yupo salama??? Tupo kwenye nyakati zinazohitaji akili kubwa kuliko Moyo mkubwa(Moyo mzuri)
1-Nyuma ya Kila technology IPO dhana fiche ambayo inatumika kama Silaha ya kupata muda,nguvu, UWEPO na akili...
Wakati mwingine imagination inakupelekea ukatae facts na akili ziende likizo ya kudumu.... reasoning yako iko wapi kama Kila kitu rejea yako ni watu na maoni yao siyo maoni yako
Well said brother!!!
Kama taifa tunahitaji kuwa na mjadala mpana wa wazi uliojaa upendo, '"clitical thinker's" katika taifa wamepungua sana.
With respect!! Vyote vinavyofanywa na watawala ni WAJIBU wao kwa sababu wanachukua Kodi ya mwananchi, kuandika kuhusu wanayofanya haibebi DHANA ya...
Mungu tunamtengeneza sisi kwa mitazamo yetu na kiwango chetu Cha mtetemo, who named God GOD?
Hakuna kisicho Bora ,maana Kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni kina mwingiliano wa mtetemo na kingine kwa uwiano unaofaa.
HESHIMU Kila kitu and respect your abilities for the befit of others
Hujaelewa kumbe content.....sijabeza mahala popote technology Wala matabibu wetu.... Hoja ya msingi ni moja tu "Usalama wetu upo mikononi mwa watu" as matabibu wetu wapo they can do something.
Habari za mashirikiano, huenda siyo muumini mzuri wa history...sisi waafrika hatushirikiani na wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.