Recent content by muweza wa yote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    sasa hao malaika si angewapa tu kazi ya kumuua shetani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kim Younhoon ndio mtu mwenye akili kubwa kuliko wote duniani, amesema Yesu ni Mungu

    kwa tafsri ya kawaida mpambavu atakuwa ni yule anaeamini mungu muweza wa yote aliumba wapumbavu pia.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kim Younhoon ndio mtu mwenye akili kubwa kuliko wote duniani, amesema Yesu ni Mungu

    niwagumu kuwaelewesha kwasababu huwezi kuwathibitishia uwepo wa mungu muweza wa yote,
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

    Kabisa mkuu hapo kiunabii inamaanisha kuwa binadamu wote wametokea Africa ndomana amekuonesha uume ni mweusi (Africa)na mwili ni mweupe (mzungu)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Mimi nilikuwa naomba yafungwe yote iachwe roman Catholic church, na Lutheran church, afu na waislamu wasitumie haya maspika wapuuzi Hawa wanatupgia kelele sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hili tukio nikilikumbuka kwa mbali naanza kuamini uwepo wa Mungu

    Huyo uliyemuona ndo alikuwa mwenyezi mungu sasa , kiufupi ulitokewa na mungu laivu kama Musa ila kwasababu haukuwa na roho mtakatifu haukuweza kumtambua.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Nimeishia pale palipoandikwa Tanzania ni ngumu kuingilika🤣🤣🤣
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Yaani minimeingia huku jf niangalie mmeandika nini kuhusu kizmkazi,nakutana na huu ujinga bn
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kamganda mme wa mtuu! Ushauri jamanii

    Kwani wewe umejuaje kama Kuna jamii forum? Mbona kama hauendani na huu mtandao?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri

    🤣🤣ngoja watakushauri wapuuzi wenzio
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

    Badala ya kusema kilichozungumzwa huko wewe unaleta habari za bastola mpuuuzi kweli, sasa kama polisi wenu wanazo atashindwa kuwa nayo traore?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usiku wa leo wanaitaka roho yako!

    🖕
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anakuwa katika hali gani ya akili hadi anakubali kuolewa mke wa tatu, wa nne nk?

    Walimwengu wanatuaminisha kuwa mwanaume anatakiwa awe na mwanamke mmoja lakini ulimwengu unahitaji mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja kwasababu mwanaume ni mbegu,
Back
Top Bottom