Kumekuwapo taarifa ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kukosa au kupewa mikopo midogo ya ajabu nchini kote. Baadhi wamekubaliana kutosaini na wengine wamekata tamaa na kuanza kurudi nyumbani
Wanafunzi mwaka wa kwanza waanza kurudi makwao
Wanafunzi chuo kikuu cha Dar, wagoma kusaini fedha ya...
Kesho atakavyowashambulia bodi ya mikopo, utadhani kama vile hajui walichokifanya. Lengo ni kushangiliwa na kupigiwa makofi. HESLB jipangeni kutoa hesabu halisi mlizoficha baada ya mtukufu kuwashambulia, tunajua hii imepangwa!
Bahati mbaya maslahi pekee ninayoweza ku'declare katika uzi huu ni uzalendo. Niliyeenda kumuona ni mtoto wa jirani yangu. Sina haja ya kufanya uchochezi, na ndio maana nikatoa wito kwa watu wenye sauti zaidi yangu waipaze huko juu, maana kwa hali ie, mtu anaenda kutibiwa lakini ajiandae pia...
NB: Nilitaka nichukue picha lakini nafsi ikanisuta. Pamoja na nia yangu njema ya kutolea taarifa, lakini nikajiuliza kuwa kwa upande mwingine, hawa wauguzaji wanaweza wasijisikie vizuri kuchukuliwa picha katika mazingira hayo. Lakini nasisitiza, kwa aliyepo Dar, awe kama vile anapita tu, aingie...
Hoja ni kwamba, kama unaweza ukaagiza dawa Kenya na ikafika nchini baada ya siku moja, kwanini uagize dawa hiyo hiyo India ikafika nchini baada ya mwezi mmoja? Kwanza unaongeza gharama za dawa, pili unai'expose unnecessarily katika mazingira yasiyo mazuri huko safarini, na tatu unaipunguzia muda...
Asubuhi ya leo nimetoka kumuona mgonjwa katika wodi ya watoto waliovunjika mifupa iliyopo Muhimbili chini ya taasisi ya MOI. Nilichokikuta kinasikitisha sana, na nilichosimuliwa na wazazi/walezi wanaowatazama watoto hao kinasikitisha zaidi
Nilichoona:
Vitanda vyote 23 katika wodi A vina...
Umetumia neno 'kama', maana yake hauna uhakika. Kwa hiyo ulitakiwa uulize option II yake pia; : Kama wakenya wanatengeneza wenyewe yaani hawaagizi India ... Tununue Kenya
Si kuwaingilia, ila ni under utilisation of power. Sasa kama kukata utepe
kufungua kiwanda cha Bakhresa au kupiga simu Clouds FM wakati vikao vya East Africa Community unawakilishwa na balozi hapa Nairobi tu, unadhani ni kuitendea haki the given power?
Labda nikuulize kwa kutoa mfano, pengine utapata picha ya mamlaka. Hivi gari lingemgonga mwanafunzi huyo huyo kwenye zebra crossing hadi kufa, hatua za kisheria dhidi ya dereva zingesubiri waziri wa mambo ya ndani aagize kuchukuliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.