Recent content by Mutwalib

  1. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Ukiyatafakari yaliyo ndani ya ndoa za watu HUOI NG'OO!!

    Huu sio ushaur ni mtazamo wako, ahsante.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Ukiyatafakari yaliyo ndani ya ndoa za watu HUOI NG'OO!!

    Lazima tukubali kuwa ndani ya ndoa kuna changamoto nyingi sana, na pia tutambue kuwa siku zote kama utamtaka mke/mume aliyekamilika hakika itamkosa na daima utaishi ukiwa mgane/mjane...Uaminifu, Uvumilivu na Upendo wa dhati ndio nguzo sahihi. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Je, Akili Kubwa ilitumika kuamua Hostels za Magufuli ziwe za Wanakarantini wa COVID-19 au Mamlaka ilikurupuka tu?

    Naona jibu utalipata pale Taasisi za elimu zitakapo pewa idhn ya kuendeleza masomo....Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

    Hakuna jambo jema lenye kukosa misukosuko, kila la heri Mkurugenzi, tuendelee kupaza sauti zetu wana JF. Pamoja We Can. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Salute, nimejiunga nanyi leo nikaribisheni

    Ni matumaini yangu mko salama na wenye afya tele na wale ambao tupo kwenye mitihani ya maradhi basi Mungu atufanyie wepesi. Ndugu yenu kaktika kujenga fikra nimejiunga nanyi, tuwe pamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

    saaafi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania UVUMILIVU KATIKA MAPENZI

    mm maasai sjui vsuli lugha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

    Nadhani mwandishi haja kosea, wakati Zitto Kabwe anatoa hotuba juu ya kupambana na virusi vya Corona alihusisha masikio ya wananchi wote na taifa kwa ujumla, na ndio maana akasema anahotubia taifa. sasa hyo sio point ya msingi, cha msingi ni tafakur zake na ushaur aliyoutoa tuufanyie kazi, ili...
  9. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania UVUMILIVU KATIKA MAPENZI

    Na hilo ndio tatizo... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania UVUMILIVU KATIKA MAPENZI

    Uandishi n singine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mutwalib

    JamiiForums Tanzania UVUMILIVU KATIKA MAPENZI

    TUWEKANE SAWA KUHUSIANA NA UVUMILIVU JUU YA MAPENZI. NA KAMA NITAKUWA SIKO SAWA MTANISAIDIA: TUKUBALIANE KUWA MAPENZI YAPO YA AINA TOFAUTI TOFAUTI. HAPA NAMAANISHA MAPENZI YA WAZAZI KWA MTOTO WAO, MAPENZI YA MTU NA MPENZI WAKE(MKE/MUME), MAPENZI BAINA YA MARAFIKI NA HATA NDUGU. NA KILA UPENDO...
Back
Top Bottom