Recent content by MUTU MUPYA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kusoma

    Ukweli hajamkebei mungu ila ameeleza hisia zake jamai,hata bahati bukuku aliimba kama mungu uko likizo naomba uanze kazi leo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania mwanaume wa kitanzania

    Duuu! Umejuaje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani hapa anazingua wenzake?

    Mmmmmh hii chain inatisha! Wajiulize wako wangap?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu alisoma wapi??!!

    Hahahahahahahahahahah!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za accesss bank na jinsi ya kuomba

    Naomba mnisaidie nijue jinsi ya kupost cv yangu mana nimejaribu nimeshindwa.maelekezo wana sema unapost kwenye link bt kila nikijaribu ku sinup kwenye link(email adress) hainip option ya kuweka cv.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mhasibu?? Tuma CV faster

    jaman ningependa mkuu atufahamishe kama kuna nafasi zingine nje ya uhasibu! lingine je kama exprience hakuna ina mana hauwezi kuomba?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya kusoma

    mungu n mwema wakati wote, usikate tamaa mpendwa kadri shida zinapokusonga ndipo mafanikio yanakaribia,cha kufanya endelea kutafuta kazi au uwe mbunifu katika biashara na mungu atafungua njia .
Back
Top Bottom