Recent content by muttas

  1. M

    Bei ya ufuta

    Kwa hiyo kilo ya ufuta ni bei gani?
  2. M

    Confirmed: No DECI Refunds

    Sasa ndio kusema - hela hawarudishi kabisa? - mbona hata hio ripoti ya Tume haieleweki imesomewa Igunga au Kkantalamba? - mbona wale wa Elimika Scheme nasikia walirudishiwa mbegu zao (za kwao, hazikuoza)! -mwenye taarifa za malipo (marejesho) atueleze basi Tumechoka kuona hitimisho.....!
  3. M

    Mahoteli ya Paradise na Oceanic Bay zatekekea kwa moto!

    Kaka, maji ya nini ? Kwani hatuna vichwa vya kutingisha kwa masikitiko? Au hatuna midomo ya kupiga miluzi ya masikitiko? Hi ndo bongo bana kuba!
  4. M

    Beware of Power Club Scam

    Ninashukuru Sana. Nimefaidika na mjadala huo hapo https://www.jamiiforums.com/business-economic-forum/22907-deci-deci-deci-ni-nini-hasa-9.html Nawashukuru wana Jamii wote na ma-modereta. Big Up JF muttas
  5. M

    Beware of Power Club Scam

    Mtuhabarishe na DECI - Tanzania (ipo hapo Dar es Salaam mabibo mwisho. Sio chama cha ukewenza wa Crisis kweli hichi? Mbona mnazungumzia Dollarjet, Pentagono, au Power-club, za nje, wakati hii DECI ni kikulacho? Mbona hii DECI mwailetea za "Jirani Jirani Karibu Ingia, Uvungu hauna hata...
  6. M

    Beware of Power Club Scam

    Tafadhali tupeni habari zaidi kuhusu haka ka-mchezo. Sio tu hapo kwako Mwanaukweli, bali hata kwenye kampuni yetu imepita wimbi la DECI-Tanzania (inasemekana ina Headquarter yake Dar es Salaam - Mabibo Mwisho) , na Sijui Power CLUB. Sasa mlio na uzoefu na Vuna Vuna Time, Upatu, Utajirisho bila...
Back
Top Bottom