Kuanguka kwa jengo la ghorofa nane la kiwanda cha nguo katika jiji la Bangladesh.
Hii ilikuwa ni habari kubwa kwani tukio hili lilisababisha vifo vya zaidi ya watu 1100 na majeruhi wengi walishindwa kurejea kazini.
Rais Barack Obama wa Marekani kupeana mkono na Rais wa Cuba, Raul Castro nchini Afrika Kusini.
Hii ilikuwa ni habari kubwa kwani viongozi hawa au nchi hizi zimekuwa kwenye mgogoro wa kidiplomasia kwa zaidi ya miaka 50.
Kaulimbiu ya miaka 50 ya uhuru ni "TUMETHUBUTU TUMEWEZA TUNASONGA MBELE." Kama CCM wamethubutu wametufikisha hapa, wakisonga mbele si watatuuza kama kuku ili baadae nchi isiwepo kabisa? Hima 2015 tuipumzishe CCM kwa amani kabla hatujapotezwa kabisa katika ramani ya Dunia.
Ni askari wa jeshi gani? Maana serikali imeshasema haihusiki.
Tusubiri tuone mashtaka yatakuwaje. Hawachelewi kutuambia alikuwa ni mlinzi wa msikiti, hivyo Ponda na watu wake walitaka kujiua!
Makampuni haya yameshindwa kubuni mbinu za kujiendesha. Badala yake yameamua kujikita katika wizi kwa wateja wake. Hata hizo promotions zao ni wizi mtupu maana zinalenga zaidi kuwakamua wateja badala ya kuwapa nafuu.
Naunga mkono hoja yashtakiwe yote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.