Recent content by Mutoma

  1. Mutoma

    JamiiForums Tanzania Anyefahamu ku-unlock ideos

    Kama simu yako si ya wizi kwa nini ushindwe ku-unlock ? Mwulize aliyekuuzia.
  2. Mutoma

    JamiiForums Tanzania Machinga complex ya DarVs Soko la Mchikichini

    jana niliona taarifa ya kuungua kwa soko la Mchikichini. Je tuchukulie hili tukio kama sababu tosha ya wafanya biashara ndogondogo kuhamia Machinga Complex? Masoko mengi Tz yako chini ya viwango vya usalama hasa kuhusu moto. Hili liwe fundisho kwa masoko mengine ambayo hayajaungua.
Back
Top Bottom