Recent content by Mutasingwa Wayne

  1. Mutasingwa Wayne

    What I learned at age 22

    What is special at 22?I cant recall kitu chochote
  2. Mutasingwa Wayne

    Alinipenda sababu ya kazi,nimemwambia nimefukuzwa kazimia

    Kitu cha kujifunza hapo ni kuwa hutakiwi kumtega mwanamke...ukimpa mitihani 100,95 kati ya hiyo atakupa matokeo tofauti na ulivyotarajia.Maanadiko yamesema ishini nao kwa akili
  3. Mutasingwa Wayne

    Kutoka kuchepuka kuwa blackmailed hatimaye kuwa mtumwa wa ngono

    Duh kwa jinsi ulivyotiririka inaonekana kabisa ni wewe mwenyewe but haidhuru...aamue tu liwalo na liwe na liwe likubuma nyumbani kwake aombe radhi kwa mumewe kwani huo utumwa utaishia kuambukizwa magonjwa kwa kuogopa fedheha...
  4. Mutasingwa Wayne

    Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

    Ukiona huwezi kusema kile ambacho moyo wako unataka useme ujue hujafikia wakati wa kufanya hivyo.So the best way ni kusubiri wakati muafaka hayo maneno hata hautayatafuta yatakuja yenyewe tuu
  5. Mutasingwa Wayne

    Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

    When am at your age na nikiwa na hivyo tu ulivyonavyo I will consider myself a failure...cant brag kwa ----- huo ulionao
  6. Mutasingwa Wayne

    Contemporary Evolution ya Human Being

    Nakufollow wapi na wapi wewe mtu mzima mwenye akili isiyojaa hata kijiko cha chai!!Kwenye hii thread umekuja mwenyewe na mikaptura yako.Ati unagombewa?Wewe huyo ugombewe kwa lipi hata ugombewe?Asigombewe Asanterabi au Mr.Prolemsolved waliokuja na vitu vipya vya kurahisisha utendaji kazi ili...
  7. Mutasingwa Wayne

    Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

    Hapo umefikia mwisho kabisaa wa uwezo wa kufikiri...ati unasaka ubilionea at late 50's kwa kufanya ukuli
  8. Mutasingwa Wayne

    Contemporary Evolution ya Human Being

    Mambo ya maana ni kule kuandika senseless IG posts na wabebezzz na kudhalilisha wanawake wasio na akili kama wewe kuwaita mitindi?Ungekuwa na akili hata za mtoto ungeweza ku-handle criticism kwa kujibu maswali rahisi unayoulizwa.Leo umegeuka advocate wa mtu mwenye uwezo uliovia kama wako?No...
  9. Mutasingwa Wayne

    Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

    Watishie mburula wenzako ndo wanatiwa hofu na huu upu.uzi wako coz unadhidi kuwathibitishia hata wale waliokuwa wanatilia shaka kama wewe ni kasorobo kuwa u kasorobo halisi.
  10. Mutasingwa Wayne

    Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

    Kwa akili mbuzi ulizonazo na umri wa kustaafu uliofikia unaona kama haya ni mafanikio ya kufikia hata kujipigia chapuo upigiwe makofi!!!??Wajukuu zako soon watakuja kuona utu.mbo unaoandikwa na babu yao mtandaoni ili nao wakukane kama wanavofanya nduguzo.
  11. Mutasingwa Wayne

    Contemporary Evolution ya Human Being

    Sikuwahi kujua kama evolution bado inaendelea na inaweza kushuhudiwa na mwanadamu wa kizazi hicho hicho ila kwa picha hii nimekubali kweli bado ipo
  12. Mutasingwa Wayne

    Maskini tembo wetu

    Ningekuona wa maana sana kama angekuwa anawachukua na kwenda kuwafuga ili wazaliane halafu achukue watoto ila kwa dili hizi za kuwaua ananizidishia chuki dhidi ya hizi sare za kijani
  13. Mutasingwa Wayne

    Gari hii nauza

    Interesting...
  14. Mutasingwa Wayne

    Ukwepaji kodi wa Bhakressa!

    Njoo na facts mkuu vinginevyo utakuwa ndo ule wivu wa kinalii alosemaga rais aliyepita
  15. Mutasingwa Wayne

    Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

    Duh kibongo bongo sasa kupooza na jini kuna uhusiano gani?Ina maana jini ndo agent wa ugonjwa wa kupooza!!Kweli wana wanaadhirika kwa kukosa maarifa.
Back
Top Bottom