Wakuu mi nachoona hapo tofauti yetu ni mazingira mtu anayozaliwa na kukulia, pia na uwezo wa kiuchumi, mfano hata mzungu akizaliwa huku akaishi maisha ya kifukara sidhani kama akili yake itatofautiana na yetu, Pia hata cc tungezaliwa New york alafu kuna helcopita ya kutembelea utakuwa...
Mpuuzi dawa yake ni kumpuuza, Hao wanaokatisha watu tamaa ni wapuuzi, so naomba wakuu tusikatishwe tamaa na hao wapuuzi wachache. Mkuu IZZO, ur wiseness iz so unique, nakukubari sana br. I b.liv God ll do some thing to u pamoja na wakuu wengine wanaochangia ktk kutusaidia kufanikisha...
Wakuu nadhani huyu nae ni kama yule jamaa, lengo lao ni kuharibu huu uzi coz huwezi kuja ktk jukwaa na kusema eti humuani mkuu IZZO kwa lipi? kuna kitu kakudanganya? Kama labda ww unaona unajua zaidi yake u would still cool coz yeye kajitolea kwa moyo wake wote kutupa mbinu anazozijua ktk...
Wakuu na mi naombeni ushauri nikiingia Canada kama mkimbiz baadae naweza kuhamia Usa??? na baada ya kuishi Usa kwa miaka 8 nikomba uraia naweza kupewa???? kama sina criminal isue.
Ok sasa kabla kunipa visa hawataniuliza tiketi ??? Pia baada ya kupata visa lazima niondoke ile ile iliyotajwa kwny mwaliko??? au naweza kuondoka mda wowote naotaka mm ???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.