Haki za binadamu unaita propaganda??? Kweli umefeli....ila naelewa vibaraka wa china hampendi kusikia haki na utawala bora katika masikio yenu viva usa
Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida.
1...
Wengi wanaomkosoa Kikwete ni chuki binafisi dhidi yake...hasa kutokana na falsafa yake ya uongozi aliyotumia akiwa madarakani na asili yake(mtu wa pwani muislamu)...ukiacha hayo hawana point ya maana madai ya ufisadi hawana ushahidi wowote...so watasubiri sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.