Recent content by mutanim

  1. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kigamboni siyo sehemu ya mbali ya kuitafuta.... Wilaya nzima haina umeme. Toeni taarifa kwanza kuliko kujidanganya kukaa kimya
  2. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bila shaka TANESCO wanafahamu matatizo ya umeme Kigamboni. Wanayo mitambo ya Hali ya juu kutambua matatizo Wanayo wowote na mahala popote. No wiki ya pili sasa hakuna maelezo yoyote ya sababu ya umeme kukosekana. Ni ajabu tumefika mahala watu wanaogopa kutoa taarifaa Karne hii ambapo ujuzi...
  3. M

    Kivukoni-Fery, kuhusu 'hakuna aliye juu ya sheria'

    Inawezekana kuna baadhi wanajitahidi kutii, lkn wengi wao hawajali kbs! Hata leo nimewaona wakiwemo ndani ya gari dogo, siyo roli, na mkuu manyota mmoja, hajashuka, gari engine na ac on, vioo vimefungwa!
  4. M

    Kivukoni-Fery, kuhusu 'hakuna aliye juu ya sheria'

    Labda waliamua siku hiyo, ukitaka kuchunguza utifu kwenye hi sheria hebu yatizame magari yao uone wanavyofanya
  5. M

    Kivukoni-Fery, kuhusu 'hakuna aliye juu ya sheria'

    Jambo moja hunishughulisha kidogo kila mara nitumiapo vivuko. Sheria inataka magari yote kushusha abiria ili abaki mvusha gari pekee, yaani dereva. 'Hii ni kwa ajili ya usalama wako' hayo ni maneno utasikia mtangazaji akinena kwenye PA! Pia, waendesha magari washushe vioo vya madirisha na kuzima...
  6. M

    TANESCO Vikindu Mkuranga kulikoni kukata umeme kila Jumamosi?

    Jambo si kutangaza, japo kuwa wametangaza kinyemela. Ukweli ni kwamba umeme unakatwa kila jmosi! Haiwezekani kupumzika nyumbani... Kigamboni yani kama mahame! Mnatengeneza nini kila jmosi? Mnashindwa nini kufanya hayo matengezo siku za kawaida? Tuna mashaka na uwezo wenu wa kufikiria
  7. M

    Uhakiki wa Vyeti: Bandarini nako kwawaka moto

    Hujaeleweka! vyeti halali na matajiri kuajiriwa, where is the connection?
  8. M

    TANESCO na TTCL: Pamoja na kupata ruzuku kubwa ya Serikali lakini ufanisi ni mdogo sana

    TTCL haipokei ruzuku kutoka serikalini ndugu
  9. M

    Ufanisi hafifu vivuko vya Kigamboni

    Tumeshuhudia kwa muda mrefu sasa namna ambavyo wakazi wa Kigamboni wanataabika katika utaratibu mzima wa kuvuka kwa kutumia vivuko vyake vya MV Kigamboni na Magogoni, na baada sasa, Mv Lami inayofanya kazi pahala pa Magogoni iliyopo matengenezoni, na Azam sea tax, ambayo ni ubunifu mwingine...
  10. M

    NSSF wasiokuwa na sifa wanajiachisha kazi wenyewe

    Kwa kweli zoezi liko sahihi kavbisa, wacha wale wasio na sifa wajitathmini, na kuona athari walizosababisha kwa wale ambao walistahili hizo nafasi, lakini, suala la kuzuia mishahara haijawahi kutokea, na ni kinyume cha sheria. Taratibu za kinidhamu zipo kuwawajibisha wasio wakweli, anzia kwenye...
  11. M

    NSSF wasiokuwa na sifa wanajiachisha kazi wenyewe

    Hii sasa siyo kweli!
  12. M

    NSSF wasiokuwa na sifa wanajiachisha kazi wenyewe

    Mashungi na vibaraghashia siyo issue, wawe na sifa basi!!
  13. M

    Naamini watanzania walitaka kiongozi makini siyo mpenda sifa

    Also we can't get strong institutions if we don't have strong people, icons, who stands to revolutionize their nations.
  14. M

    PCCB wafungua kesi dhidi ya Lugumi na Jeshi la Polisi, IGP na Katibu wa Wizara waitwa Bungeni Dodoma

    Si jeshi litakaloshitakiwa ila baadhi ya wana-jeshi la polisi ambao walihusika na kufanikisha ubaya wowote utakaojulikana. Kumbuka kwamba walipewa majukumu na mamlaka (authority) kwa dhamana ya wananchi, na hivo wanahitajika kuwajibika (be held accountable) pale wanapotumia madaraka pasi kujali...
  15. M

    Nilivyomdhania Magufuli kumbe sivyo...

    Sahihi kwa mengine, lakini hapo kwenye namba mbili kunahitaji kuangalia na misingi ya kazi yake. Kimuundo, ofisi ya mkaguzi inatakiwa iwe na ( independence and objectivity) samahani sijapata maneno mazuri ya Kiswahili; maanake, uwepo wa taasisi, au chombo kingine juu yake kinachopitia taarifa za...
Back
Top Bottom