Tatizo private hawataki kuajiri wanasema serikali ikitoa tutawakimbia inamaana serikali imebeba hatma ya maisha ya watu halafu wamekalisha tu WANAHARIBU MAISHA YA WATU TU.. na kwa system walizoweka watu hawatoweza kwenda kusoma mpka wawe kwenye system upuuzi gani huu wa hii nchi
Serikali imekuwa na kimya kingi au ilikuwa geresha tu kuhusu ajira.... Kwanini serikali hii inacheza na vichwa vya watanzania, hivi ninyi watanzania hamna uchungu ninyi kwanini tusiandamane tukamuonesha huyu mse** kuwa sisi ndo tuliomuajiri kwanini atuzoee kiasi hiki... Pumbafu kabisa
Ndugu uko na uso wenye mafuta using'ang'anie lotion tymia sabuni pia nzuri mno unaweza tumia lotion kumbe sabuni ndo inakuangusha hailandani na lotion unayoitumia so anze kwa hii tumia sabuni ya DOVE hukausha kabisa ngozi na unatakata ndugu yangu...!!
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums...
Huyu mama mzushi sana ajira hewa kila siku anatangaza afya ilikuwa atoe wiki hii mpka sasa kakaa kimya.. Hii serikali inamaajabu yake
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kuna habari kitaa huku zinasemekana zimetoka toka tareh 15 zinahusu kujitolea kufanya kazi wizara ya afya mwisho kutuma maombi ni tarehe 30 mwezi Wa 05 huu.!
Maombi yote yanafanywa kwa DMO..!!
KUNA MWENYE UKWELI WA HABARI HIZI MAANA WIZARA HAWAELEWEKI JAMANI..!!
Mie ni mtu wa afya na ndo nachozungumza kila hospital ukienda majibu hayo hayo mpk serikali iajiri na wao wataajiri
Option ni kuisema tu SERIKALI kama itasikia isikie wana bore sana
private sectors hawatoi ajira sasa mpaka serikali itakapo ajiri nimetembea taasisi zaidi ya 15 hilo ndo jibu lao "serikali mpaka iajiri"
Hivi kuna ugumu gani kututolea ajira mbona mnatunyanyasa kwenye nchi yetu huru.
private sector hawatoi ajira mpka muajiri ninyi wanaogopa mkitoa ajira...
[emoji94]NAOMBA USHAURI HUU UMFIKIE MHESHIMIWA MTUKUFU RAISI WA TANZANIA #DR_JOHN_POMBE_JOSEPH_MAGUFULI...[emoji116][emoji116]
[emoji666]Hawa vijana waliohitimu kuanzia mwaka 2015 hadi sasa ambao wako mtaani hawajapata ajira na pia wameshindwa kujiajiri kwa kukosa mitaji wengi wao ni watoto wa...
Nani kasema ili usikike nje uimbe kiingereza mbna mziki wa mondi unapenya kuliko wa hao navy na anaimba kiswahili sometimes we have to treasure what is ours not their you feel me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.