Recent content by Mussahboy17

  1. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

    kweli unaweza ukakuta kuna ma ex wengi tu alikuwa hapatani nao,na mtu uliyemkosea huwaga haui mhusika ,yaan anaua wengine ili tu ikuume 😢but R.I.P kwa familia. wel
  2. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwanaume

    😂😂😂😂🙌🙌🙌
  3. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Kamwe usijaribu kufanya ngono kwenye gari, lisipoharibika litapata ajali mbaya

    siyo kwny gari tu hata wale wanaoingizaga wanawake kwny biashara analala nae dukani,,huwa hawafui dafuu,,all in all achen ubahili ni heri umpeleke gesti kuliko dukani😂
  4. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    aisee uzinzi,na huruma nyingi kw watu zilinitudisha nyuma,ilikuwa nikipata pesa tu mtu yeyote nikikutana nae analia lia haana hata buku 5 nampatia,,kuhusu uzinzi unakuta mdada anaishi mkoa wa mbali kbs ila unajitoa kumtumia nauli na akija anakaa hata wiki 2 hizo zote unamhudumia aisee,mpk...
  5. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    huwezi amini nimechanganyikiwa au Bachi😂😂
  6. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mke adaiwa kula njama za kumuua mumewe ili aolewe na mwanaume mwingine

    aise hao walale mauti wakiwa jela kbs,,😢
  7. Mussahboy17

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwa masikini endekeza michepuko

    shida huanzia pale unapokosea kuoa tu aisee😢😢😢😢
  8. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini ni mazuri sana kuliko maisha ya mjini

    Mkuu maeneo ya huko viwanja wanauzaje kwenye senta ya mkusanyiko wa watu
  9. Mussahboy17

    JamiiForums Tanzania Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

    Vitalis ushamahamia tyar mbeyaa
Back
Top Bottom