Recent content by Mussa ruwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Benki ziongeze kiwango cha kutoa pesa ATM, 400K at once haitoshi

    Boss hapo hakuna cha wizi, risk wala terrorism finance. Ni kwamba watapata faida kutoa more than once time, mkumbuke hata bank zinaibiwa na hata ukitolea ndani then kwenye safari zako ndo hauwezi kuibiwa?. Ifikie mahali waache janja janja tu coz the people of now days are educated.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

    [emoji419]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilisha mwaka wa kuzaliwa katika living certificate

    Hekima gani, me mbona sikuelewi boss!!? [emoji1], nioneshe neno nililoweka humu lisilo na hekima, labda mimi naona tofauti na wewe pengine [emoji2375].
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilisha mwaka wa kuzaliwa katika living certificate

    [emoji2] Hilo umesema wewe, wapo wanaojua kwanini nimefanya ivyo. Karibu kutukana zaidi ukihitaji, unakaribishwa (mzee wa michepuko) Na sijamvizia mtu, narudia sijamvizia mtu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilisha mwaka wa kuzaliwa katika living certificate

    Wewe tena unashauri kiazi mbatata? Sidhani kama nina cha kujadiliana na wewe. Point ulizoandika nimezisoma na nakuhakikishia nimezielewa. Na unaruhusiwa kutukana zaidi ukitaka, unakaribishwa mkuu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kurisiti necta, form 4

    .
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilisha mwaka wa kuzaliwa katika living certificate

    [emoji28][emoji28] unafurahisha genge si ndio, sawa sawa nimekuelewa. Mnasemaga alikuwa ni shetani tu. Be turned.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilisha mwaka wa kuzaliwa katika living certificate

    Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu[emoji120]
Back
Top Bottom