Kurisiti necta, form 4

Inakuudhi nini muheshimiwa? Inamaana sisi hatupaswi kujua ama?
Unaenda kituo ambacho kinaruhusu kurudia mtihani iwe center ya kufanyia mtihani au secondary kikubwa kituo hicho kiwe kimeidhinishwa na BARAZA LA MTIHANI baada ya hapo utaomba refference namba ila katika hivi vituo huwa kuna malipo na malipo yanatofautiana kulingana na kituo chenyewe yaani kituo ili kikuandikishe kufanyia mtihani hapo lazima uwape pesa inategemeana kuanzia 20k hadi 40k baada ya hapo utaenda Posta kujiandikisha au sehemu yoyote yenye internet ila kabla ya kujiandikisha utalipia elfu hamsinina ukijiandikisha umechelewa utalipia faini 20k ila kwa ushauri wangu ingia kwenye website ya BARAZA kuna maelezo mazuri pia yanaelezea kuhusu kurudia mtihani
 
Njo rombo Kilimanjaro kuna shule nzuri na center ni hapo hapo unakaa bording kabisa

Ada kwa mwaka ni 700,000 tu ni shule ya serekali ila inae center hapo hapo
Call me
0764616353
 
Back
Top Bottom