Recent content by Mussa Nzugilwa

  1. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Ninachojua mimi, sheria zipo ila wengi hatuzijui. Ukitaka kujua sheria zipo jitoe akili kama huyo jamaa. Fanya kituko, hapo ndio utajua vifungu vipo. Ova
  2. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Tanzania Watu wanazeeka aisee! Kweli mimi wa kuwapa shikamoo classmates?

    Jichunguze vizuri mkuu. Unaweza kuwa kwenye kundi la watu wanaopenda kumwamkia kila tu hata kama amewazidi umri kwa lengo la wao waonekane wadogo.
  3. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wa Kanda Ya Ziwa na Tabora "Wasukuma Thread"

    😂😂 gashi ulemnho! Ghobhelile no niyo.
  4. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa watu wa Kanda Ya Ziwa na Tabora "Wasukuma Thread"

    Nabhona mleminghe abhanho🙌🏽
  5. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Kijana anataka kukakilisha wokovu wake
  6. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Tanzania Nimeokoka ila nashindwa kuacha kununua Malaya na kunywa pombe

    Mkuu kubali kwanza kwamba hujaokoka, kisha uendelee kuanzia hapo
  7. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Kijana punguza faraja, komaa ufanikiwe.
  8. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui mpoje?

    Tuheshimu basi bibie tukuambie kwanini! Sisi ni Wanaume sio “wenye jinsia ya kiume”😡
  9. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MCHEZO MPYA WA MADEMU WA SIKU HIZI VIPI UMEUSOMA?

    Wakuu kwani bado tunatuma sms🫪 si tulikubaliana tunatuma “Imethibitishwa”
  10. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kutongoza ni talanta ya kuzaliwa nayo au ni skill inayoweza kujifunza?

    Mtoa mada nisikilize mimi, futa huu uzi. Wanaume hatufundishwi majukumu yetu. Ova
  11. Mussa Nzugilwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

    Nisililize mimi, usimuache mkuu. Mvumilie, mrekebishe atabadirika. Hawanaga baya
Back
Top Bottom