Recent content by Mussa Namangaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake mna matatizo gani?

    Usimshauri 7bu mwenyewe yupo tayar kuendelea nae Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Neutral Gear (N) kwenye gari

    Moja kati ya kazi za manual gear box ni kuifanya engine ifanye kazi peke yake wakat wa neutral position.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nikifanya sex na mwanamme ninayempenda nakuwa wet muda wote!

    Hiyo sio ugonjwa bali ni hisia na mapenzi ya kweli kwake asikuongopee mtu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuua mtu asubuhi hii, naomba ushauri wenu...

    Unatukanwa alaf uombe ushauri kwe2 unaonyesha kila kitu unashauriwa amin ww mwananume hamna k2 unashindwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?

    Turbocharger haina madhara yeyote ile asikudanganye mtu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nalazimishwa kulala ndani madogo wapo geto la nje. Je, ni sahihi?

    Wanajua ujana utautumia vibaya kama uko sawa tambua wao wanakutakia mema japo huoni utalijua hlo akili yako ikipevuka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Gwiji la utangazaji Ahmed Jongo afariki dunia

    Rip ahmed jongo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri gari ipi ninunue

    Toyota Rv4
  9. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

    Sasa hapo kuna mambo ya kuchek,nozzle,plug,fuel contro senser na high tension cable na kwa gari ya petrol nazan kutakua na miss kwa asilimia kubwa jambo la kuzingatia anza na fundi waya badala ya hapo uendelee na mechanicer
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

    Pia rv4 yako ina engine gani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Gari yangu Toyota Rav4 inakula sana mafuta

    Aujasema kwa sasa inatumia lita 1 kwa km ngap!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Anayo haki maana ww hukutakiwa kuishi hapo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Naamin msaada aufai kwako na inaonyesha matatizo mengi ya wanaume yanaletwa na wanawake.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna mtu huniibia hela na kunichomekea noti bandia nyumbani

    Hakuna ushauri hapo akili yako inatosha
Back
Top Bottom