Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na ukiagiza nje, pia haina shida yoyote kama unavyoiona kwenye picha ipo kazini. inauzwa kwa kuwa haina...

Nataka kufungua work shop ya carpentry hapa Dar nataka kununua vifaa vidogovidogo used nitakavyoanza navyo najua vipo vingi mtaani kama kuna mtu ana connection tuwasiliane wakuu...
Jipatie double ottoman kama hizi katika staili mbalimbali kwa matumizi yako ya kukalia kama vile chumbani,saluni, dressing room na kwa wale wasanii wanaochora kucha za wakina dada kuna base nzuri za kuwekea miguu ya wateja wenu na viti vyake.
Leta oda yako tukutengenezee design yoyote...
Nitaiuza kwa sh.2,300,000 badala ya 2,600,000 bei ya awali Karibuni tufanye biashara mashine iko vizuri kabisa kama inavyoonekana kwenye picha saizi ya meza ni inch 12. mawasiliano 0713026995 karibu.
Jamani nauza mashine ya kuranda na kuchana mbao ni mpya imetumika miezi mitatu tu ninashida zakifamilia ipo Dodoma wilaya ya kongwa kwa aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0713026995. bei ni sh. 2,600,000 tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.