Hallow wana jamvi

MUSSA MBOGONI

Member
Apr 14, 2019
9
1
Nataka kufungua work shop ya carpentry hapa Dar nataka kununua vifaa vidogovidogo used nitakavyoanza navyo najua vipo vingi mtaani kama kuna mtu ana connection tuwasiliane wakuu...
 
Nahitaji screw gun na beats zake, grander machine, clamps,electric saw machine,na machine ya kuchorea maua.
 
Back
Top Bottom