Cjasikia huyu E.Wasira katangaza kugombea huo ubunge, nafikiri si kila mwana siasa mchango wake uje kwa kugombea ubunge,uraisi au udiwani, mchango wa mtu unaweza kuwa hata kwa ngazi ya ndani ya chama kwa kuleta fikra mbadala kwa ajili ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla, ni kweli mimi nilimsikiliza...