Recent content by MUSSA ALLAN

  1. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

    Asante kaka.
  2. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

    Alifariki mtu mmoja.
  3. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

    Ni mmoja tu.
  4. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la 'Kiazi Kitamu' limepinduka Monduli, Arusha

    Ajali hii imechukua maisha ya jamaa yetu mmoja anayeitwa Amin Mero. Tunamzika leo huku kwao Mkoa wa kilimanjaro, wilaya ya Moshi vijijini, kijijini MDAWI. Ni yeye tu aliyefariki kwenye hii ajali. Lala Salama Mero.
  5. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Akili zake zimesimamia ukucha? tujiulize hilo kwanza!
  6. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu), aiwakilisha CHADEMA mazishi ya mke wa Mwakyembe

    Jisome vizuri wewe choko.
  7. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu), aiwakilisha CHADEMA mazishi ya mke wa Mwakyembe

    YEHODAYA said: ↑ Yaani mwakyembe mkewe angekuwa wa kaskazini bendera za chadema zingepepea nusu mlingoti na wabunge wote wa chadema wangechangishwa.Sugu mnyakyusa kaenda kuwaogopa wanyakyusa kuwa waampiga chini mbeya kwani wanyakyusa misiba ni kitu kikubwa.Kaamua.kujilipua bila kujali mwenye...
  8. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu), aiwakilisha CHADEMA mazishi ya mke wa Mwakyembe

    Wewe ni nani aliyekuambia kuwa JONGWE ni mnyakyusa?
  9. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Tutawashughulikia wanaotoa matamshi ya kichochezi

    Hawa hawajahuzunishwa hata chembe na kifo cha LINAH. Ndio maana wanasimama msibani na kuanza kuongea porojo za kisiasa. Majaliwa asubiri siku akifiwa na mtu wake wa karibu aone kama atapata nguvu za kuongea ujinga kama huu. Msibani ni mahala pa kufarijiana, kuonyeshana upendo, kujitegemeza...
  10. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania RUVUMA: Dkt. Vincent Mashinji na viongozi 8 wa CHADEMA wapandishwa kizimbani, wanyimwa dhamana

    Giza likizidi ni ishara kuwa asubuhi imekaribia. Viva Makamanda. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
  11. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi kwa Lemutuz ni hiari yako umeze au uteme

    W. J. Malecela Hongera kwa kununuliwa NOAH na BASHITE. Pia nasikia anakujengea Studio ya online TV ili urushe kazi zake, baada ya kususiwa na media zote Tanzania. Halafu ile SWAHILI TV iliishia wapi tena?
  12. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Hai amejaa kwenye 18 za Mbowe, alalamika Kushitakiwa Peke yake

    Mwisho wa ubaya ni aibu tupu.
  13. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda Safi cha chuma: (hutojutia pesa yako)

    Hivi vitanda ni vizuri sana kwa Mechi za ligi kuu, Nawashauri vijana mnunue. Enzi zetu palikuwa na vitanda kama hivi vinaitwa BANCO.
  14. MUSSA ALLAN

    JamiiForums Tanzania Mahakama Moshi yaruhusu kilimo kuendelea kwenye shamba la Mbowe

    Wahenga walishasema mchuma janga hula na wakwao. Huyo DC analo hili.
Back
Top Bottom