#CHINA.
Inasemekana kuwa Bunge la China limepiga kura kupitisha marekebisho ya Katiba na kuondoa ukomo wa rais kukaa madarakani. Rais wa sasa Xi Jinping aruhusiwa kutawala bila kikomo endapo atapenda kufanya hivyo.
Katika Wabunge takribani 3000 waliopiga kura ni Wabunge 2 tu ndio walipiga kura...
Poleni sana mliofikwa na ajali hii mbaya, kiukweli ukiitazama ni ajali mbaya sana, na hili basi inasemekana lililetwa kwa ajili ya kushindana na A.M ila sasa inaonekana dereva wake hana uzoefu na mabasi ya scania alikua akiendesha vibasi vidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.