Recent content by Muslima1

  1. M

    Series (Special thread)

    Kwangu imegoma Kiongozi, sijui kwa aliuliza yeye ashafanikisha au
  2. M

    Series (Special thread)

    Nami naomba kujua Netnaija inapatikana vip?
  3. M

    Series (Special thread)

    Ata mimi nimetafuta sana hiyo Apples 🍎 TV+ sina natumia NETFLIX siku zote, Iyo PIRATE inapatikana wapi? Nielekeze kwa faida ya alieuliza na wengine wasiojua kama mimi
  4. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Nashukuru kwa mawazo yako! Wala siogopi hilo kwakua ALLAH SWT ndio kaamrisha, nimefanya ivo kama nilivyofafanua hapo juu mm ni mtu wa safari na sitaki kumpa dhima ya Uchafu-Zinaa ivo mda ambao niko safari anakua na WENZANGU na ata nikiwa wapili ntamruhusu aoe watatu na wanne pia as long as uwezo...
  5. M

    Nahitaji ndoa ya uke wenza

    Assalaam Alaykum! Mm ni mwanamke wa Kiislam umri (30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:- Awe Muislam, Awe yuko ndani ya Ndoa tayari, Umri kuanzia 35-50, Awe anajiweza mwenye kipato, Nahitaji Mume sharti awe ameshaoa nahitaji (UKEWENZA) niwe mke wa pili, watatu...
Back
Top Bottom