Recent content by musicarlito

  1. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Jenga utaratibu wa kutembelea Wagonjwa japo mara moja kwa mwezi

    Asante sana kutukumbusha
  2. musicarlito

    JamiiForums Tanzania UVCCM na Vijana machawa mnajua kama kuna siku historia itawakumbuka?

    Kati ya Machifu wapo wanaokumbukwa kwa mema na mabaya... Wapo waliowauza wenzetu kwa vipande vya nguo na zawadi ndogo ndogo Lakini wapi mashujaa kama kina Mkwawa walipambana kwa ajili ya jamii zao Ninyi vijana mliopaswa kutumia akili zenu kuleta changamoto mpya na ubunifu leo mmeamua...
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulitenganisha Kanisa Katoliki na nchii...Hongera Roman Catholic Mungu atajibu maombi

    Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
  4. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Nimewapiga wachawi—kipigo cha mbwa koko!

    Afrika tuna safari ndefu ...una uhakika gani hao ni wachawi?Mwamposa njoo uchukue wateja wako huku
  5. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu

    Unajua kwanini mabii hawa wanatumia nguvu kubwa kama media kujitangaza? Hapo ndipo iko nguvu ya ya udanganyifu Ni hivi,Asilimia kubwa ya changamoto zetu nyingi kiafya au kimaisha katika ujumla wake huwa ni hofu tuu na kutotulia kwa akili... Hawa watu wanakutia hofu zaidi halafu kimbinu...
  6. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Sahihi lakini vipi pale tunashindwa kupiga mstari mwembamba kati ya adhabu na kudhuru kama sio kudhalilisha utu wa mtu kiasi cha kusababisha vilema au mauti kabisa?
  7. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Kazi kweli kweli
  8. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Kabisa ...huwa najiuliza hivi madaktari wangekua hivi ingekuwaje...mbona madaktari wako humble
  9. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Wapumbavu sana
  10. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    🤣🤣🤣
  11. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ninyi polisi na walimu nisikieni

    Wasalaam Kutokana na kuaminiwa kwenye maisha ya watu wakati mwingine baadhi ya watu wa kada hizi mmekuwa na mambo ya ajabu Mwalimu na polisi wengi wenu sio wote...huwa ni wajuaji kuliko... polisi au mwalimu,anaweza kumbishia fundi gari...Fundi nyumba ...daktari masikini na hali hajui chochote...
  12. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar yangefanyika leo hii, viongozi wetu wa sasa wangesimama upande gani? Wa Waarabu au wa Wazalendo?

    Magu amefariki bado wapo kumbe hakua Magu anaefanya hivyo bado yupo na ndie alieanzisha
  13. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Stephen Sheiza wa Kibaha

    Wasalaam Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha maeneo gani Asanteni
  14. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Tuna Askari Police wenye akili kama huyu?Hii ndio maana ya jamii iliyoelimika

    Sijui huwa wanapewa nini depo
Back
Top Bottom