Recent content by Music Man.

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kwa mwanmke kuanza kumtunza mume kabla ya ndoa?

    Siku wakiacha kutuomba hela kabla ya ndoa, ndo tutaacha kuwaambia waje kutufanyia usafi nyumbani.. yaani pesa nimpe, nimgharimikie kila kitu, tutanda tusile, jamani na usafi ashindwe kufanya....
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kwa mwanmke kuanza kumtunza mume kabla ya ndoa?

    Acha longo longo, "tutakula matunda yote ya bustanini, ila tunda la katikati la ujuzi wa mema na mabaya hatutakula kabla ya ndoa" kwa nini nimhudumie kipesa then ashindwe hata kunifanyia usafi ndani... tunda hatutakula ila mengine "as usually" ni muhimu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Achana nae kabisa huyo... msahau kabisa, na siku ikibumbuluka, we haikuhusu, kwenye vyeti lipo jina lake, na aliyekwenda kutengenezesha ni yeye wala siyo wewe, wewe ulitoa pesa tu, na pesa zina matumizi mengi, hiyo kesi ya vyeti haikuhusu kama hautajitia kimbele mbele, kumbuka ukisanua yapo...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetongoza 3 wote jibu ni YES., sasa nataka kuwatoka 2 abaki 1 nifanyeje?

    6 kwa 6, itatoa majibu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sina uhakika na mimba hii kama ni ya mchepuko au mume

    Siku ya 14, jioni rafiki, usiku mista.. uwezekano wa mimba hiyo kuwa ya mista, ni mugumu sana, nafikiri hata we unajua, ila unataka kutuchosha.. asilimia kubwa mimba hiyo ni rafiki siyo ya mume.. chukua tahadhari mapema.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndo baba utafanya nini?

    Duuuuu... ngoja waje watiririke.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sema,"Ahsante Mungu"

    'Ulakoze MANA yanje, lulema wo' mwijuru' ntawundi yo kwingana nawe, ulakoze mukunzi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msikie huyu kilaza wa darasa

    Hiyo nimeshaisikia, ya zamani sana.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana anataka ndoa ili niendelee kukaa kwake, na mimi bado ishu hazijakaa sawa

    Anataka kuolewa na wewe kwa sababu anafosiwa na rafiki zake..? vipi upendo wake kwako uko je? kama anafosiwa na rafiki au ndgu zake, hata kama uko vizuri, huyo si wa kuoa.. lakini kama ana mapenzi ya dhati kwako naamini hata ukimweleza hali halisi still ataendelea kuwa na msimamo ule...
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yanapoteza utamu wake siku hizi

    Labda hayana mvuto kwenu.. mbona mi naenjoy na my wife, leo tu tulikuwa tumetoka out.. ukimpata aliye sahihi kwako, raha sana.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA MPYA: "Sikutegemea'' na Mdharuba J.K

    Haivutii kabisa.. hadi uvivu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kibondo Jamani... Buyungu Na Muhambwe Vipi Tupeni Linalojiri.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata week haijaisha toka kumzika mumewe anafanya mapenzi sasa hivi

    Duuu...!! hapa nakufikiri wewe kwanza hata kabla ya huyo mjane.. kuna watu wanafanya mapenzi siku moja kabla ya harusi, sembuse wiki..? tena msiba..? cha kwanza nampongeza huyo mdada, anapata faraja kweli kweli.. hataki pressure... achana na mambo ya kulia-lia mwaka mzima, hata ukilia ndo...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi jipya: Unakumbuka swag zako?

    Bado cjapata mpenzi, kwa hiyo cjui hata penzi liko vipi.
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

    Kinyau." umeongea mambo ya msingi sana... inaonekana una experiance nzuri katka mambo ya mahusiano... binafsi nimeupenda ushauri wako big up mkuu.
Back
Top Bottom