Recent content by mushora

  1. mushora

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

    Kama NRNE ni kampeni mfu, kwa nn wanamshikilia? Wamuqchie uone NRNE ilivyo na nguvu
  2. mushora

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia ashangazwa na idadi ya watu Shinyanga kwenye kampeni yake leo

    Kama kweli ni ngome za CCM wamuachie Tundu Lissu
  3. mushora

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu ni mtu na nusu

    Ndo maana wamemfungia. Wanajua huyo mtu wao ni zaidi ya dhaifu maana hata kuongea tu hawezi. Rais ni Tundu Lisu basi. Unamuachaje mtu mwenye akili nyingi kama yule mnatuletea form four failure?. CCM mmeinajisi sana hii nchi na kwa dhambi hii Mwenyezi Mungu hata waacha salama.
  4. mushora

    JamiiForums Tanzania Nitajie manispaa zlizochoka zaidi kwa Tanzania

    Musoma inaongoza
  5. mushora

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM: Polepole anayoyabwabwaja yote ilitakiwa ayayabwabwaje mwanzoni, ameshalamba asali ya Ubalozi na ubunge lakini hakuyasema

    Ndugu Mpinzire, Umemuuliza maswali mazuri sana. Akikujibu nitag tafadhali. Hao walio tajwa na Polepole kama wako safi wajibu maana uongo na ukweli havichangamani. Vinginevyo ngoja Polepole aendelee kututoa tongotongo
  6. mushora

    JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Polepole is the designated survivor. Tumpe support afunguke zaidi nchi yetu ipone. Wenye viapo vya kulinda katiba wamepewa assignment na polepole, waifanyie kazi vinginevyo nao ni waguni tu.
  7. mushora

    JamiiForums Tanzania Uvira tena kimeumana wazalendo wachapana na FARDC kisa FARDC Kuwapa escort wanyarwanda

    Nadhani baadhi ya misingi hiyo ni uhuru, umoja, upendo, haki ili kuzaa uzalendo. Matunda ya uzalendo ni ni uwajibikaji hapo amani inatamalaki. Africa yangu ikiwemo Tanzania tunaangamia kwa sababu misingi hii inabomolewa mchana kweupe na wale walio apa kuilinda na kuitetea. Kama bara tuna kazi...
  8. mushora

    JamiiForums Tanzania Kweli Samia kajitahidi sana

    Njoo morogoro mjini uone kuna mitaa tangu uhuru maji hayajawahi kutoka
  9. mushora

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuiunge CHADEMA kwa nguvu zote, Taifa letu limechezewa sana

    Huu ndio ukweli. Kataa wahuni okoa taifa
  10. mushora

    JamiiForums Tanzania Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Hii technology ya AI inahitaji udhiti wa hali ya juu sana vinginevyo binadamu atapata shida sana
  11. mushora

    JamiiForums Tanzania Mkambako: Walimu wadaiwa kuiba maharage na mahindi ya shule

    Msiwalaumu waalimu. Hao wamelima kisha wamegawana kawaida kama sehemu ya juhudi zao, wewe unasemaje wameiba? Msiwadhalilishe waalimu
Back
Top Bottom