Recent content by Mushkov

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mungu mkuu, tunaomba ukombozi kamili wa Nchi hii.

    Twakusifu Mungu mkuu, Bwana twakuinamia. Ee Mungu, Mungu usiyeshindwa, Mungu mwenye haki, Mungu mwenye upendo na Mungu uliyewatoa wana wa Israel kutoka utumwani Misri kwa Farao kwa mkono wenye nguvu; nakuomba ukainyeshee Nchi hii UMANDE wa ukombozi kamili wa Nchi. UMANDE huo utakuwa ni laana kuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Wengine wanaamini Elimu Dunia na Elimu Akhera kwa pamoja wakijua kwamba kuna kuishi Duniani na baadaye Akhera, lakini wengine wanaamini Elimu Akhera pekee wakisahau kwamba kwa sasa wapo Duniani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria, nisaidieni

    Ndugu zangu wataalamu wa sheria au hata yeyote mwenye ufahamu, naomba kujua, baada ya Lissu kuhitimisha Final Submission, utaratibu gani unafuata?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Ebu iendelee kunyesha ili tujue kila tobo linalovuja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Nchimbi yuko wapi?

    Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa. Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Hapo sawa, naomba namna ya kutengeneza App ya kuchakata matokeo ya mitihani, madaraja, Asilimia ya UFAULU na wastani.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sioni ni kwanini askari wasizime vurugu za Oktoba 29, 2025 kwa risasi. Ningewashangaa

    Na wale waliokuwa majumbani, Je? Subiri mwanao wa kumzaa atandikwe ya kichwa ndo akili zitakukaa vizuri.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Sisimizi shujaa kuwafyatisha mkia"The Big Five".

    Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo, Simba, Twiga, Nyati/Mbogo na Faru. Lilipoandaliwa pambano kati ya Sisimizi na wanyama hao, vilitokea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi yuko wapi?

    Naomba mnisaidie, leo mtakuwa mmefanikiwa kumwona Nchimbi katika Kanisa Katoliki lolote hapa Nchini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Mpaka hapo, hawa wa kwetu hawawezi hata kwa robo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Hapo sawa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Naomba kuuliza; Kati ya Jeshi letu na Wahouth wakiamua kuzichapa nani kati yao atashinda vita?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Ni kweli. Vita havitumii silaha tu bali hata Mbinu za Medani. Ebu fikiri jinsi MKWAWA alivyowatandika Wajerumani akafanikiwa kuwaua askari wengi wa kijerumani pamoja na Kamanda wao Emil Von Zelewisk na kuteka mizinga na bunduki nyingi jeshi lake likiwa linatumia tu mishale na mawe.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unaita mashahidi ambao unajua fika watakukandamiza. amakweli Lisu kachanganyikiwa.

    Mtoa mada upo Dunia ya wapi sijui? Hawa mashahidi wataongozwa na Lissu, kwa hiyo kutakuwa na Maswali strategic ambayo yatakuwa yakimsaidia Lissu kuonekana hana hatia.
Back
Top Bottom