Recent content by Mushhino

  1. M

    Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

    Acha kumtegemea binadamu anayekufa mtegemee Mungu anayeish milele , Umekengeuka rud na utubu kiburi cha uzima kina kulevya , Ukinikana mbele za watu mm nitakukana mbele ya baba yangu aliye mbinguni
  2. M

    Mradi wa mabasi yaendayo kasi(DART) , ni kielelezo tosha kuwa miradi ya aina hii haipumbazi wananchi(wapiga kura)

    Hahaaaa wala sifikirii tena kuunga foleni ya kupiga kura katika maisha yangu , kwa upumbavu aliyofanya mgombea urais aliyepita et niachieni kura zangu watu tukamwachia mpaka leo hajatoa msimamo wake zaid ya kuunga mkono na kuendekea kuua upinzani kisayansi
  3. M

    Tunapoishtaki serikali ughaibuni tumesahau unyonyaji waliotufanyia hao walami?

    Hayo unasema ww wao walikubali Demokrasia ya vyama vingi kupingana kwa hoja wameshindwa wanatumia polisi
  4. M

    Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Malipo hapahapa Duniani !!Mungu yupo japo haonekani
Back
Top Bottom