Recent content by musamwanga

 1. musamwanga

  Babu auawa Moshi baada ya kubaka mtoto na kumuambukiza Ukimwi

  Natoa pole kwa huyo binti namuombea mungu amsaidie
 2. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Huo huo ni ukweli wanachuja mbu wanameza ngamia
 3. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Soma pkitabu cha warumi utaelewa mungu akubariki mpendwa mwamini bwana yesu uwe huru
 4. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Napenda kukufahamisha kuwa haki ya msamaha wa dhambi ilipitia damu Za wanyama biblia inasema hizo Damu za wanya zilikuwa hazimkamlishi Mtu kwa utakatifu mpaka alipokuja yesu Ndio sasa tunakamilishwa kwa imani Nasio kwa matendo ya sheria
 5. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Dhambi hatakaswi na jumamosi bali kwa neno la kristo yesu maana yesu anasema njoni kwangu ninyi nyote mlemewao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha
 6. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Soma wagalatia 4:4-5 hata ulipowadia utimilifu wa wakati Mungu alimtuma Mwanawe kusudi Awakomboe hao Waliokuwa chi ya sheria au torati.
 7. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Soma wagalatia 3:23-29lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria tumefungwa mpaka ije ile imani lakini iwapo imani imekuja hatupo tena chini ya kiongozi.
 8. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Kolosai 2:16-17 tusiendelee kuishi kuegemea kivuli maadamu kristo ametuweka huru
 9. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Soma yohana 13:34-35 anasema amri mpya nawapa mpendani ikiwa amri yesu amleta amri MPYA tena iliyokuu ni upendo tena paulo anaongezea Anasema mtu asipokuwa na upendo hawezi kumwona baba
 10. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Agano la kale hakuna neno kanisa hakuna msabato aliyeabudu kanisani
 11. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Nekujibu mpendwa labda nikufafanulie hivi kati yetu mimi na wewe wadhani wayahudi hawaijui sabato neno torati maana yake ni sheria kwa kwa hiyo torati na agano la kale Lilikuwa na uongozi wa matendo ya sheria Labda nikupe mfano Wa karanga chukua karanga uimenye Halafu hilo ganda lifunike vizuri...
 12. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Ndugu soma waebrania 10:1-4 katika sabato yaliandamana na hayo kuitii sabato haikuwakamilisha ndio maana ukisoma yohana 4:24 haisomeki kwamba wamwabuo baba katika sabato aa bali wamwabuduo ktk roho na kweli
 13. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Mateso ya yesu yalianza ijumaa siku ya tatu akafufuka hiyo siku ndio tunaikumbuka ni siku ya ukombozi wetu aliouahidi mungu
 14. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Naomba usome marko 2:27 Angalia yesu anakujibu vyema kwamba mwanadamu hakufanyika kwa ajili ya sabato Nadhani kuna kitu yesu alikiona ambacho kinawasumbua wengi Kwasababu yesu alisema pia Yeye hakuja kuitangua torati Ila kuitimiliza Yesu aliikuta sabato Lakini palikuwa na mapungufu Na...
 15. musamwanga

  Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

  Kama mungu angeihesabu sabato ni ya kupumzika tungeshaakufa wote maana we jiulize akipumzika mungu kuna atakaye baki kweli
Top Bottom