- Thread starter
- #301
Weka basi ushahidiSiku ya saba ni ijumaa........! usiangalie mpangilio angalia majina
Weka basi ushahidiSiku ya saba ni ijumaa........! usiangalie mpangilio angalia majina
Kama hakuna sheria... Hakuna dhambi pia maana hakuna hatia bila sheriaSoma wagalatia 4:4-5 hata ulipowadia utimilifu wa wakati
Mungu alimtuma
Mwanawe kusudi
Awakomboe hao
Waliokuwa chi ya sheria au torati.
Mambo ya kipuuzi kama haya nilishaacha kuyapatia nafasi!
Upuuzi mtupu.
Wewe na wenzio pia mbona hamsomi post zote, nimeweka hoja zenye link hapo juu mnajufanya hamzioni.Haujasoma post zote
Ewaaaaa haya niliyaongea post za nyuma. Huko lakini wanajifanya vipofu. Wazo la sabato ni siku ya jumamosi limetokana na reference kutoka katoliki kwa tukio la kufa na kufufuka. Yani ndio hoja ya kila msabato ipo hapo.Unampinga katoliki halafu reference ya hoja zako inakuwa Katoliki dah ni shida
Wenzetu ni waamini wa sabato na kuiabudu siku ya Jumamosi.Soma pkitabu cha warumi utaelewa mungu akubariki mpendwa mwamini bwana yesu uwe huru
N napinga.....Sabato ni siku ya saba na si jumamosi............!
Usidhubutu kurudia ushenzi na upumbuvu huu tena....Sabato ni siku takatifu na yenye heshima mbele za Mungu wale waitunzao ndiyo anawaita kuwa watu wake, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu
Ha Ha hebu amka usingizini Ellen White hana sabato, sabato ni ya Mungu na Mungu pekee maana yeye ndiye aliyeiasisi pale Eden na kutuagiza sisi kuifuata na kuiheshimu wale wanaoitunza ndiyo anawaita kuwa ni watu wake wale wanaoipinga hawa wanakuwa upande wa ibilisi ambaye ndiye mpinzani wa Mungu sasa2 ujipime uko wapi maana huu ndiyo ukweli mchunguUsidhubutu kurudia ushenzi na upumbuvu huu tena....
Ningekuwa karibu na wewe ningekulaza makofi....maana sabato ya mwanamke EGW ni ushenzi wa kiwango kikubwa sana...
Nenda kwenye kiarabu hiyo Alhamisi siyo sita bali tano kwani hata husikii simba walivyofungwa tano ziliitwa khamsa mkuu na huo ndiyo mzizi kwenye Alhamisi kwa hiyo siyo sita ila tano baada ya ilimu hiyo sasa rudia kuhisabu tenaUkisema mosi tu kwa kiswahili maana yake ni moja,pili ni mbili unaendelea tatu,nne ,tano na alhamisi itakuwa sita so Ijumaa ni 7th day,mkuu usiwe Kama umelewa kuchekechea upande unao ufuata kibubusa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ni kwamba unajitoa ufahamu kuwa hujui walioanzisha genge la Usabato...??? Hujui SDA ni mali ya Ellen G White...!??Ha Ha hebu amka usingizini Ellen White hana sabato,
Mungu mwwnyewe alivunjilia mbali Sabato za kishenzi....sijui waongelea sabato gani. !?sabato ni ya Mungu na Mungu
Nani ameagizwa kufuata uhuni...??? Wewe ni Muebrania... ???pekee maana yeye ndiye aliyeiasisi pale Eden na kutuagiza sisi kuifuata
Mkuu samahani kidogo, naomba nikuulize kutokana na uliyoandika.Hivi ni kwamba unajitoa ufahamu kuwa hujui walioanzisha genge la Usabato...??? Hujui SDA ni mali ya Ellen G White...!??
Mungu mwwnyewe alivunjilia mbali Sabato za kishenzi....sijui waongelea sabato gani. !?
Nani ameagizwa kufuata uhuni...??? Wewe ni Muebrania... ???