Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Soma wagalatia 4:4-5 hata ulipowadia utimilifu wa wakati
Mungu alimtuma
Mwanawe kusudi
Awakomboe hao
Waliokuwa chi ya sheria au torati.
Kama hakuna sheria... Hakuna dhambi pia maana hakuna hatia bila sheria
 
Dhambi hatakaswi na jumamosi bali kwa neno la kristo yesu maana yesu anasema njoni kwangu ninyi nyote mlemewao na mizigo ya dhambi nami nitawapumzisha
 
Napenda kukufahamisha kuwa haki ya msamaha wa dhambi ilipitia damu
Za wanyama biblia inasema hizo
Damu za wanya zilikuwa hazimkamlishi
Mtu kwa utakatifu mpaka alipokuja yesu
Ndio sasa tunakamilishwa kwa imani
Nasio kwa matendo ya sheria
 
Mambo ya kipuuzi kama haya nilishaacha kuyapatia nafasi!
Upuuzi mtupu.

Ni kweli ni ya kipuuzi.Naomba mnijibu swali langu.Ninakubali alipumzika siku ya saba.Lakini je,siku ya nane au siku ya kwanza ya wiki iliyofuatia aliendelea na kazi yake ya uumbaji?Kama alipumzika hadi leo hii kwa vile alikuwa keishamaliza kazi yake,kwa nini wewe humalizi kwanza kazi zako zote ili uendelee kupumzika kama yeye
 
Haujasoma post zote
Wewe na wenzio pia mbona hamsomi post zote, nimeweka hoja zenye link hapo juu mnajufanya hamzioni.
Shubaamit

Halafu bado natafakari dhana ya neno wasabato

Wafuasi wa kristo wanaitwa Wakristo so ninyi ni wafuasi wa Sabato!!!?
 
Unampinga katoliki halafu reference ya hoja zako inakuwa Katoliki dah ni shida
Ewaaaaa haya niliyaongea post za nyuma. Huko lakini wanajifanya vipofu. Wazo la sabato ni siku ya jumamosi limetokana na reference kutoka katoliki kwa tukio la kufa na kufufuka. Yani ndio hoja ya kila msabato ipo hapo.

Wepesi sana kwenye hoja wa kondoo wa Hellen white
 
Hata mi nakuunga mkono kweli sabato ni siku ya saba,,, ila kwa mujibu wa majina siku ziliyopewa siku hiyo ya saba sasa huitwa siku ya jumamosi,,, ktk biblia ya kiswahili cha kisasa wao siku wamezipa majina kabisa mfano siku aliyofufuka Yesu hutaja siku ya jumapili ila ukija kiswahili kingine siku hiyo hutajwa kuwa ni siku ya kwanza ya juma hivyo hapo unakuwa na jibu tayari,,,
N napinga.....Sabato ni siku ya saba na si jumamosi............!
 
Sabato ni siku takatifu na yenye heshima mbele za Mungu wale waitunzao ndiyo anawaita kuwa watu wake, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu
Usidhubutu kurudia ushenzi na upumbuvu huu tena....

Ningekuwa karibu na wewe ningekulaza makofi....maana sabato ya mwanamke EGW ni ushenzi wa kiwango kikubwa sana...
 
Usidhubutu kurudia ushenzi na upumbuvu huu tena....

Ningekuwa karibu na wewe ningekulaza makofi....maana sabato ya mwanamke EGW ni ushenzi wa kiwango kikubwa sana...
Ha Ha hebu amka usingizini Ellen White hana sabato, sabato ni ya Mungu na Mungu pekee maana yeye ndiye aliyeiasisi pale Eden na kutuagiza sisi kuifuata na kuiheshimu wale wanaoitunza ndiyo anawaita kuwa ni watu wake wale wanaoipinga hawa wanakuwa upande wa ibilisi ambaye ndiye mpinzani wa Mungu sasa2 ujipime uko wapi maana huu ndiyo ukweli mchungu
 
Ukisema mosi tu kwa kiswahili maana yake ni moja,pili ni mbili unaendelea tatu,nne ,tano na alhamisi itakuwa sita so Ijumaa ni 7th day,mkuu usiwe Kama umelewa kuchekechea upande unao ufuata kibubusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti siku ya saba Mungu akapumzika , anachoka kama sisi ?? Si anasema tu neno na vitu vinatokea ? He created out of nothing !! Wonderful !! Binadamu ulijuaje hakutumia kitu ? Acheni hadithi za abunuwasi !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema mosi tu kwa kiswahili maana yake ni moja,pili ni mbili unaendelea tatu,nne ,tano na alhamisi itakuwa sita so Ijumaa ni 7th day,mkuu usiwe Kama umelewa kuchekechea upande unao ufuata kibubusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye kiarabu hiyo Alhamisi siyo sita bali tano kwani hata husikii simba walivyofungwa tano ziliitwa khamsa mkuu na huo ndiyo mzizi kwenye Alhamisi kwa hiyo siyo sita ila tano baada ya ilimu hiyo sasa rudia kuhisabu tena
 
Ha Ha hebu amka usingizini Ellen White hana sabato,
Hivi ni kwamba unajitoa ufahamu kuwa hujui walioanzisha genge la Usabato...??? Hujui SDA ni mali ya Ellen G White...!??
sabato ni ya Mungu na Mungu
Mungu mwwnyewe alivunjilia mbali Sabato za kishenzi....sijui waongelea sabato gani. !?
pekee maana yeye ndiye aliyeiasisi pale Eden na kutuagiza sisi kuifuata
Nani ameagizwa kufuata uhuni...??? Wewe ni Muebrania... ???
 
Kabla ya kuchangia mada nimeona nami nifanye utafiti, nikajaribu kupitia baadhi ya lugha ambazo zimekuwepo kwa maelfu ya miaka, nikataka kujua wao siku ya jumamosi wanaiitaje?

Katika lugha kama nne nilizotafiti nikagundua yafuatayo;
1. Waitaliano huiita jumamosi Sabato
2. Wagiriki huiita jumamosi Sabato
3. Kihispaniola jumamosi huitwa Sabado
4. Kiarabu jumamosi huitwa Yoom assabt, ikimaanisha siku ya sabato.


Na lugha nyinginezo nyingi za mashariki ya kati na ulaya nilizozitafiti, siku ya jumamosi ina mzizi wa neno Sabato.

Nimejaribu kutafakari kuwa je ni coincidence tu kuwa zaidi ya lugha kumi za jamii tofauti waiite jumamosi sabato? Hapana. Hii haiwezi kuwa bahati mbaya.

That means watu wa jamii hizo walifahamu fika kuwa siku ya jumamosi(kiswahili) ndiyo siku ya sabato, ndiyo maana jina hilo la sabato limebakia katika siku hiyo ya jumamosi hata leo ktk lugha hizo.

Kwa ushahidi huo tu wa kilugha ambazo zimekuwepo kwa zaidi ya miaka elfu, nachelea kuamini kuwa ni kweli jumamosi ndiyo sabato yenyewe.

Hii ni ukiachilia mbali bindingness yake leo. Are we bound to keep the sabbath today? Nadhani hiyo yaweza kuwa mada mpya, maana uzi huu unalenga kuitambua siku ya sabato ni ipi hasa?
 
Hivi ni kwamba unajitoa ufahamu kuwa hujui walioanzisha genge la Usabato...??? Hujui SDA ni mali ya Ellen G White...!??

Mungu mwwnyewe alivunjilia mbali Sabato za kishenzi....sijui waongelea sabato gani. !?

Nani ameagizwa kufuata uhuni...??? Wewe ni Muebrania... ???
Mkuu samahani kidogo, naomba nikuulize kutokana na uliyoandika.

Unaposema sabato za kishenzi au ni uhuni una maana gani?

Najaribu kuwaza kuwa ikiwa sabato ilikuwa ni agizo la Mungu kwa watu wake, wewe unawezaje kusema kuwa agizo hilo ni la kishenzi?

Je hauoni utakuwa unamtusi aliyetoa agizo hilo zamani hizo ambaye ni Mungu mwenyewe?
 
Back
Top Bottom