Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Unampinga katoliki halafu reference ya hoja zako inakuwa Katoliki dah ni shida
 
Nekujibu mpendwa labda nikufafanulie hivi kati yetu mimi na wewe wadhani wayahudi hawaijui sabato neno torati maana yake ni sheria kwa kwa hiyo torati na agano la kale
Lilikuwa na uongozi wa matendo ya sheria
Labda nikupe mfano
Wa karanga chukua karanga uimenye
Halafu hilo ganda lifunike vizuri
Halafu mpe mtu yeyote
Muulize hii ni nini niwazi
Atakujibu ni karanga
Halafu mwambie afunue
Utaona atabadili jibu
Ambalo litakuwa ni ganda
Karanga kula wewe sasa hapo
Aliyekula karanga ni nani
Torati ni kivuli
Yesu ni sura halisi
Ya mungu.
 
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Wakati inakuwa jioni inakuwa Asubuhi na kuwa siku ya kwanza reference ilikuwa wapi? Japan,Ulaya ,East Africa au Marekani? Maana haya maeneo muda unapishana
 
Nekujibu mpendwa labda nikufafanulie hivi kati yetu mimi na wewe wadhani wayahudi hawaijui sabato neno torati maana yake ni sheria kwa kwa hiyo torati na agano la kale
Lilikuwa na uongozi wa matendo ya sheria
Labda nikupe mfano
Wa karanga chukua karanga uimenye
Halafu hilo ganda lifunike vizuri
Halafu mpe mtu yeyote
Muulize hii ni nini niwazi
Atakujibu ni karanga
Halafu mwambie afunue
Utaona atabadili jibu
Ambalo litakuwa ni ganda
Karanga kula wewe sasa hapo
Aliyekula karanga ni nani
Torati ni kivuli
Yesu ni sura halisi
Ya mungu.
Yesu ni sura ya Mungu au ni Mungu?
 
Kwa hiyo kumbe hayo maandiko yanayotumika humu kusapoti hoja siyo literature review?

Nilikuuliza swali hilo ili nikuulize tena kwamba..

Hivi nikitumia maandiko ya bibiana inayotumiwa na wakatoliki lazima niwe naitumia pia?

Au je inaondoa facts kwamba hiyo biblia inakubaliana na hoja kwamba siku ya saba ni juma ni Jumamosi?
Kama ni literature review basi usipinge misimamo ya wengine pia kuhusu hizi siku maana nao wamefanya literature review yao
 
Kama ni literature review basi usipinge misimamo ya wengine pia kuhusu hizi siku maana nao wamefanya literature review yao
Hakuna aliyekupinga... wewe ndiyo unauliza kuhusu.. "uwepo wa biblia iliyotaja majina ya siku"
 
Hata mimi nakubaliana na wewe kuwa Sabato ni siku ya saba

Je hiyo siku ya saba inaitwaje katika KALENDA yetu ya ulimwengu wa leo?

Unaruhusiwa hata ku "Google" au kumuuliza "Padree wako"
Siku ya saba ni ijumaa........! usiangalie mpangilio angalia majina
 
Swali moja kwako ambalo nilikuuliza hapo juu na haujalijibu

Je Amri ya nne (kutoka 20 :8-11) ilifutwa?
Soma yohana 13:34-35 anasema amri mpya nawapa mpendani ikiwa amri yesu amleta amri MPYA tena iliyokuu ni upendo tena paulo anaongezea
Anasema mtu asipokuwa na upendo hawezi kumwona baba
 
Soma wagalatia 3:23-29lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria tumefungwa mpaka ije ile imani lakini iwapo imani imekuja hatupo tena chini ya kiongozi.
 
Soma wagalatia 4:4-5 hata ulipowadia utimilifu wa wakati
Mungu alimtuma
Mwanawe kusudi
Awakomboe hao
Waliokuwa chi ya sheria au torati.
 
Soma yohana 13:34-35 anasema amri mpya nawapa mpendani ikiwa amri yesu amleta amri MPYA tena iliyokuu ni upendo tena paulo anaongezea
Anasema mtu asipokuwa na upendo hawezi kumwona baba
Kwa hiyo "uzinzi" pia siyo dhambi?
 
Back
Top Bottom