Recent content by musami

  1. M

    Mchakato wa ajira Serikalini ni wa kushangaza

    Hii pole ipewe pia jamii ya Kitanzania ambayo inadharau wenye digrii na kuthamini wenye vyeti.Ni mambo ya hovyo sana
  2. M

    Mchakato wa ajira Serikalini ni wa kushangaza

    Daaaaah! Kweli maajabu hayaishi Tanzania
  3. M

    Mchakato wa ajira Serikalini ni wa kushangaza

    Hivi karibuni zimetoka ajira mpya Serikalini kwa kada za Afya na Elimu. Kitu kilichonishangaza kuna vijana wengi walioomba wenye Shahada wameachwa, badala yake wamechukuliwa wenye vyeti (Astashahada)! Tatizo ni kwamba, hawa wote wenye vyeti wanapopata ajira kinachofuatia wanaomba ruhusa ya...
  4. M

    TBC Mubashara: Spika Ndugai asema huko tunakoelekea ni vizuri tukawa na vyama shindani siyo upinzani unaopinga kila kitu hamna kizuri

    Huyu ndiye aliyelidhoofisha kabisa Bunge hili.Amejitengenezea historia mbaya mno,sababu ya kujipendekeza
  5. M

    Tanzania yathibitisha uwepo wa wagonjwa wapya 5 wa COVID-19. Waathirika wafikia 32, watatu wafariki dunia

    Maambukizi Afrika yapo chini sana kulinganisha na Mabara mengine,japo tunapenda sana kujidharau,lakini ukweli ni kwamba huu ugonjwa umetukuta walau tuna elimu ya jinsi unavyoambukiza na jinsi ya kujikinga Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Bodi ya Uhasibu ahirisheni Mitihani

    Una ushahidi wowote au unahisi tu hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Bodi ya Uhasibu ahirisheni Mitihani

    Unatutoa kwenye mada Mkuu ,kama una Smartphone kwanini usi google maana ya hayo maneno? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Bodi ya Uhasibu ahirisheni Mitihani

    Accountancy or Accounting Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Bodi ya Uhasibu ahirisheni Mitihani

    Kutokana na hatua iliyochukuliwa na Bodi ya Uhasibu (NBAA) ya kuamuru vituo vyote vinavyowaandaa Watahiniwa(Tution Providers) kusitisha madarasa hayo, badala yake masomo hayo yaendeshwe kwa njia ya Mtandao(Online Studies) Katika jitihada ya kukabiliana na Ugonjwa wa Covid-19,wakati huo huo...
  10. M

    Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

    Mimi nimezaliwa tarehe 13 nimebarikiwa mpaka najishangaa,labda ndio maajabu ya namba 13 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Mwenendo huu wa Siha na Kinondoni dhidi ya Upinzani unaongeza chuki kutoka kwa wananchi kuliko faida

    Kwa kweli kwa matukio ya Kinondoni nimejikuta nimeanza kuichukia CCM mno,
  12. M

    Hivi CHADEMA Kinondoni Hawakua na Mzawa mwenye Vigezo hadi wakavuka bahari?

    Acha ubaguzi wewe, inaelekea hata katiba ya nchi huijui, Mzanzibari ana haki zote za kuongoza ndani ya Jamhuri ya Muungano. Ndio maana kuna wakati baadhi ya Wazanzibari wameshawahi kuwa wakuu wa mikoa .Hata kwenye Serikali hii , kuna Waziri Mzanzibari anayeongoza wizara ambayo sio ya Muungano...
  13. M

    CHADEMA, wananchi wamewachoka mtashindwa zaidi 2020. Hamna sera shawishi

    Ndio maana Trump anatutukana waafrika, ni kwa sababu ya kuwa na watu kama huyu anayesapoti ufedhuri wa CCM
  14. M

    Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

    Mtulia kurudi kwenye ubunge ni aibu kwa Taifa, ukizingatia jinsi alivyolitia hasara kwa kusababisha uchaguzi kurudiwa. Shame on us
Back
Top Bottom