Hivi CHADEMA Kinondoni Hawakua na Mzawa mwenye Vigezo hadi wakavuka bahari?

Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
Acha ungese we
Huyo sizonje wenu mbona ni wa kule kwa interahamwe
 
Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
Na bado, 2020 wanamuweka Jacob Zuma
 
Unauongelea hapo baba wa taifa aliuita ubaguzi,neno wazawa ni ubaguzi ambao Mwalimu nyerere aliuita ukaburu. Salum Mwalimu hakuzaliwa kinondoni lakini ameishi kinondoni muda mrefu wa kujua matatizo ya watu wa kinondoni. Na pia ni mtanzania mwenye haki zote za kugombea ubunge kwani Kuna majimbo mengi ambayo yana wabunge ambao sio wazawa. Sasa ukitaka tulete ukaburu nchini hatutaweza kukuruhusu!
 
Wakuu tukiachana na Uwezo wa Mbunge Zitto Kabwe ambaye anaweza kugombea Ubunge Sehemu yeyote akapata wengine ni Anonymous watahangaika sana kama Salum Mwalimu.

Nawaza kwa sauti na Kujiuliza CHADEMA hawakua na option nyingine Kinondoni hadi wakaamua kumteua Salumu Mwalimu? Hii ilikua ni dharau sana kwa wana Kinondoni Na wanastahili kuwaadhibu kama walivyofanya.

Mtu Kutokea Zanzibar anayajua vipi matatizo ya wana Kinondoni?

Mwisho Kila mtu aheshimu maamuzi ya wana Kinondoni.
Acha ubaguzi wewe, inaelekea hata katiba ya nchi huijui, Mzanzibari ana haki zote za kuongoza ndani ya Jamhuri ya Muungano. Ndio maana kuna wakati baadhi ya Wazanzibari wameshawahi kuwa wakuu wa mikoa .Hata kwenye Serikali hii , kuna Waziri Mzanzibari anayeongoza wizara ambayo sio ya Muungano .Narudia acha mawazo ya kibaguzi
 
Back
Top Bottom