end of the day ukweli utafahamika.kwasababu kinachobishaniwa kipo kwenye makaratasi na sisi sote hatujauona mkataba kati ya pande mbili so wakati mwingine mtazamo wa macho khs huyu katetemeka huyu kaja na watu kitita ni mitazamo tu binafsi.ngoja tuone mwisho wake kisha tuje na stori zingine za...
tehe tehe tehe.huo ni uongozi wa WBC na shauri lipo kati ya rich mavoko na WBC so hao wote unaowaona ni management ya WBC na huyo diamond ndiyo mtu mkubwa CEO so kama mkubwa yupo ajabu ni nini kuwaona ma manager?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.