Ukweli ni kwamba, ni jambo kubwa sana kutambua NYAKATI, ni muhimu kujua muda gani ufanye Nini? Uwe wapi? na hatima au matokeo ni Nini?
Habari yako Mpenzi msomaji. Leo napenda kukuepusha na hatari ya kutotambua nyakati katika MAHUSIANO YA KIMAPENZI. Watu wengi wanapoteza muda kubaki na wenza...
Hahah sawa nakuelewa ndugu yangu, ni kitu ambacho nadra sana kwenye kizazi hiki ila wapo. Inawezekana hawapo kwenye ukoo wako ila kwenye ukoo mwingine wapo na ni wanaume lijali hakuna tatizo lolote. Sababu za kutochekupa sio lazima awe anatatizo, nadhani nimejaribu kuelezea zingine kwenye mada...
Hiyo ni imani kaka. Hujafanya kuchunguza uthibitishe kama kweli wasio chepuka wanamatatizo wote au la. Ila nafikiri wapo wasio na matatizo ila wameamua tamaa zao zote wazimalize kwa mwanamke mmoja! Ni bora kuwa mbunifu kilasiku kweny tendo ili kukidhi haja yako na kuenjoy mwanamke wako kuliko...
Habari yako ndugu msomaji;
Ukweli ni kwamba wanaoteseka kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa ni wanawake. Hivyo Leo naorodhesha sifa ambazo mwanamke anaweza kuzichunguza ili kujua anaingia kwenye mahusiano na mwanaume sahihi au laa kabla hajaishia kuchezewa na kutelekezwa. (Mwanaume pia akizijua...
Habari yako ndugu msomaji.
Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake.
Kabla hujajibu lazima ujue hili, nini kinapelekea wanaume kuwasaliti wapenzi wao? Tuanze na mzizi.
Ukweli ni...
"You are not my type!"..... this is a famous line used by women and even men sometimes to signify that a particular person is not in the list of the kind of lovers he/she would mingle with.
Ok, let's stick to the topic and avoid being too broad on this subject. Women are created to be verbally...
Habari yako ndugu msomaji, kwa Mara nyingine tena nawasilisha kwako mada niliyo iandaa ili kukufanya uwe bora zaidi. Ni imani yangu umejipanga kuboresha maisha yako huku Mungu akiwa tegemeo lako.
Katika pita pita zangu nilikutana na kipindi kwenye runinga juu ya mfalme wa mwitu, yaani SIMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.