Recent content by Musa Kibidu

  1. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Wakili Jerome Msemwa ajitoa kesi ya Malinzi, Mwesigwa na Nsia

    Lkn yupo na kaburu ujue
  2. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Ajira za uwalimu

    mheshimiwa waziri amesema ikama ya walimu wa masomo ya sanaa inatosha na kuna ziada watakachofanya ni kuhamisha walimu kutoka walikolundikana mpaka kwenye upungufu.Swali langu mbona hawajatupa takwimu ya walimu waliopo kwa kila somo la sanaa na mahitazji na hiyo ziada maana isije ikawa ziada ipo...
  3. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Tamko la walimu wa sanaa waliokua wanaosubiri ajira mpya.

    inabibidi walimu wajiandae kisaikolojia kwani baadhi ya kozi mambo haya ya kulilia ajira za serikalini walishasahau cku nyingi.Na hata hao walimu wa science wenyewe sidhani kama itazidi miaka mitano nao wataingia kwenye mtego huu.
  4. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuhusu haya mabadiliko ya grades za ufaulu?

    kupata uhakika kama kweli au la ingia kwenye website ya baraza la mitihani
  5. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi HESLB: Zaidi ya asilimia 90 ya fedha za mkopo zimeshafika vyuoni

    Mi nimeona first batch tu mwenye second batch naomba unitumie e-mail yangu musakibidu@yahoo.com
  6. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi HESLB: Zaidi ya asilimia 90 ya fedha za mkopo zimeshafika vyuoni

    jamani mbona hvyo vyuo hawaweki hayo majina on line na pia bodi hawaandiki lolote kwenye acount zetu za bodi,kwa mwenye majina ya waombaji wapya wa chuo cha ushirika moshi naomba unitumie e-mail musakibidu@yahoo.com
  7. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    mwenye majina ya waliopata mkopo kwa chuo cha ushirika moshi naomba ayaweke hapa,maana ni balaaa!
  8. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    jamani mbona mimi naona wametoa mchanganuo tu bila ya amount ,msaada please s0199/0043/2013
  9. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    naomba mnijuze nawezaje kuona jina mnufaika wa mkopo kwan nikiangalia naona wametoa mchanganuo tu lakini sioni fedha .Nifanyaje ili nijue ka nimeapata mkopo au la
  10. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Inaonekana ajira ya kuajiriwa serikalini ni tatizo sana, na pia watu wanapomaliza vyuo mbalimbali wanategemea kuajiriwa,hv wataalam wetu wa masuala ya elimu bado hawajaona umuhimu wa kua na mitaala ambayo itatusaidia mtu kujiajiri ili amalizapo shule aweze kuendesha maisha yake au wameona kua...
  11. Musa Kibidu

    JamiiForums Tanzania Tulijua kina Lissu watamkumbuka Kikwete, na kwa hakika watamkumbuka Rais Magufuli pia

    Kila mtume na zama zake
Back
Top Bottom