Recent content by musa john

  1. M

    Napenda awe mke

    Cha ukweli mkuu tatizo eti bado kinamaumivu mh!!
  2. M

    Napenda awe mke

    Mkuu unamfahamu? Au umeonaje nijulishe plz
  3. M

    Napenda awe mke

    Nasubiri hukum tu kwa sasa
  4. M

    Napenda awe mke

    Wajameni Kama avatar ya lady in action ni picha yake halisi du! Nimetokea kumpenda natamani awe mke wangu
  5. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Msaada dem wangu anafangasi sana anawashwa na kujikuna mpaka anatoa uchafu wa njano kiasi kwamba tukitumia kinga wakati sex uchafu wote mweupe unaomtoka unapandaa juu ya condom msaaada atumie dawa gani kwa hospital kaenda kapewa dox kamaliza dozi hiyo hali imerudi tena.
  6. M

    kwa dar

    jamani naombeni kuuliza mimi nipo nje ya dar saboufa aina ya sipiano kubwa ya spika 2 inayokalibia ile ya spika 4 ndefu ni sh ngapi nisaidieni mnaofaham hasa kwa dar
  7. M

    fundi fance

    fundi fance za umeme anapatika maeneo ya mianzini Arusha kwa ukitaka huduma ya kufungiwa fance wasiliana nae kwa sim namba 0767413838, 0763700777
  8. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    nikwamb siwalazimishi kuamini wala kutuma anaeamini atume na asie amini kimpango wake, kuhusu hela hivi kama mtu unaakili timamau utaombwaje hela na mtu haumjui eti akupe kazi na unatuma kwel si ujinga huo kuweni makini ndugu zangu badala ya kufikiri mnakuja kulaumiana hapa kwa taarifa yenu hizi...
  9. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    ukiniuliza hilo swali siwezi kujibu tangazo hilo lilibandikwa kahama nadhan kama kuna mkazi wa kahama hum atakua shahidi karibia kila nguzo ya umeme nyumba za biashara kulikua na tangazo hilo, sijui kosa nikuwajulisha au kosa kuliweka hum sina taarifa zozote sababu niliona tangazo ni nikalileta...
  10. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    wema wangu unaniponzaeee ndugu kama unajamaa unaemfaham muulize kuhusu hiyo email au kama kuna mtu anafanya tulawaka muulizie kuhusu hizi post atakuelewesha au kama unaweza njoo tulawaka uangalie kama hakuna post hizi siwezi kubishana na wewe na email hiyo ifatilie kama ni uongo utajulikana tu
  11. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    ngoja niitafute email ya mhusika mkuu nitawapatia ila ni mwanamke mkiongea nae vizuri atawapa email anaroho nzuri sana alafu mkimpigia msiseme mmeona tangazo humu atawaelewa sema umeona tangazo limebandikwa au umetumiwa namba na ndugu yako yupo hapa mgodini kwetu mkijichanganya hawezi kuwaelewa
  12. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    niupande wa plant jaman alafu mimi sio msemaji mkuu
  13. M

    Nafazi za kazi tulawaka

    wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo - operators (post 10) - security (post 15) - supervisor (post 7) wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii applydar@barrick.com au mawasiliano zaidi 0766920604 mwisho wa kutuma maombi ni 30/6/2012 wakuu nimeshindwa...
  14. M

    K wa wakazi wa dar

    sasa ww mama umekuja kufundisha spelling hum ovyoooooooooo!
  15. M

    nafasi za kazi mgodi mpya

    jaman nimeulizia nimeambiwa mgoni unafunguliwa rasmi mwezi wa saba interview ni mwezi wa sita kwa watakaochaguliwa pia kaz rasmi wanaanza mwezi wa saba sasa hivi niwanafanya ujenz pia kama hauamin sio razima mkuu
Back
Top Bottom