Recent content by Musa Jackson

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huko kwenu viroba vimepewa jina gani?

    Kolomije one
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Mhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Ulianza vibaya, ila umemaliza vema.Big up Bro Nape
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wafuatao wanastahili kujiuzulu kumuunga Nape Mkono

    Mhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Ulianza vibaya, ila umemaliza vema. Big up Bro Nape
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Mhubiri 7:8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi. Ulianza vibaya, ila umemaliza vema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania TRA yazifunga ofisi za TFF na kuamrisha kuacha kila kitu ofisini

    Hivi mgawo wa mapato wakila game na faini wanazozitoza club zinaendaga wapi Kweli mijamaa inajaza mitumbo yao na kukalia fitina
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wewe huna sauti kama ya Gwajima kuhoji uhalali wa vyeti
  7. M

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    Itakuwa used
  8. M

    JamiiForums Tanzania Majina yameshakabidhiwa, tupeane mrejesho, nani kakamatwa mpaka sasa

    Nadhani wangeendelea kuwataja sijui kigugumizi cha nini maana walishaanza basi wangemalizia hivyohivyo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Majina yameshakabidhiwa, tupeane mrejesho, nani kakamatwa mpaka sasa

    Yafaa waendelee tu kuwatangaza maana walishaanza sasa kigugumizi kinatoka wapi
Back
Top Bottom