Recent content by Mus_musa

  1. Mus_musa

    Kwenu TISS, Napinga tukio alilofanya huyu askali wenu, wala siyo weledi na heshima

    Sema watu mnapenda kutafsili vibaya kwa vile amemnyang'a kiaskali Ujaona video ya kijana umri wa miaka 16 Nchini Wale Kumjeruhi Pastor kanisani kwa kumchoma visu kwahiyo uwezi jua mtu anamawazo gani na kikapu kinaweza kuekewa sumu au kilipukizi. Kwa mkakati ohoo
  2. Mus_musa

    Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

    Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
  3. Mus_musa

    Habari naomba kuijua Subaru Impreza 2.0i ya 2012

    Nahitaji kununua Gari Wanaoijua Subaru Impreza ya kuanzia 2012 Cc 2000 GP 7 Naomba nijui services,fuel comsuption,spares Naombeni ushauri🙏
  4. Mus_musa

    Naomba maelezo kuhusu Subaru Impreza G4

    Habari. Kwa waliowahi kutumia hii gari naomba watuambie ikoje ubora wake kuanzia spea zake, fuel consumption iko vipi Asante!
  5. Mus_musa

    Nataka kununua Toyota Crown Althele

    unalipa TRA na CIF au ni kitu kimoja??
  6. Mus_musa

    Nataka kununua Toyota Crown Althele

    Sasa gari za kuanzia 2010 mm balanc yangu 15m
  7. Mus_musa

    Nataka kununua Toyota Crown Althele

    Habarini Wakuu, Nataka kununua Toyota Crown Althele ya 2005-6 nataka kujua fuel consumption na Services. Na Kusafiria Dar-Moshi inaweza kucost pesa ngapi kwa Fuel
Back
Top Bottom