Recent content by Muru sambemo mawa

  1. M

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    1. Asmah hutamla 2. Kizoka utampa gari episode ya leo 3. Zanzibar utaenda na Asmah
  2. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haya nipeni code ya betpawa ya milion 10 kuna jero hapa nimalize nalo msimu
  3. M

    Kwanini viongozi wa Yanga wamekomalia suala la kuweka utani pembeni?

    Kamsikilize arafat vizuri alafu urudi hapa
  4. M

    Kwanini viongozi wa Yanga wamekomalia suala la kuweka utani pembeni?

    Wakuu Habari, Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi...
  5. M

    Chuki Simba na Yanga

    Kwa mfano leo, wewe mwanachi wa Young African unayetamani mnyama afungwe, umekaa chini ukajitafakari kwa makini kwamba ni sahihi unachofanya? Wabongo tuko tayari kushabikia al hilal au mazembe ila sio vya nyumbani. Hujachelewa, anza sasa Utani ubaki ligi kuu huku kwingine tupeane support
  6. M

    Chuki Simba na Yanga

    Kumbe unanifahamu mkuu, sema mi mweusi ila upara kama gamondi. Cha msingi tubadilike, kila timu ipambane na malengo yake. Biashara ya wasemaji wa hizi club kuanzisha vijimaneno vyao hapa vya kutujaza chuki visitufanye tusiwe wazalendo kwa kuipenda nchi yetu.
  7. M

    Chuki Simba na Yanga

    Mkuu hata kama una jirani yako na humkubali kabisa, akipata changamoto huwezi kushangilia hadharani kama inavyotokea hapa Tanzania. Na huu ujinga naamini umekolea zaidi hapa Tanzania na ukichochewa zaidi sana sana na wasemaji.
  8. M

    Chuki Simba na Yanga

    Hapa sipo upande wowote mkuu, nashangaa tu inakuaje hapa bongo unakuta kuna mashabiki wa medeama? Au wa wydad? Ina maana hatupendi nchi yetu iwe na mafanikio kwenye mpira? Watakuja al hilal na tp mazembe watapata mashabiki wa kutosha kwa mkapa ila kwa sisi wabongo dah support kwa timu ikiwa...
  9. M

    Chuki Simba na Yanga

    Huu unaoendelea sasa sio utani mkuu, ni kitu kingine kabisa ila kimejificha kwa jina la utani. Chunguza vizuri
  10. M

    Chuki Simba na Yanga

    Hata ingeshinda ungekubali kwamba ni bora?
Back
Top Bottom