Recent content by murthehelp

  1. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupoteza simu ni ya kawaida kazi inakuja pale unapofuatilia simu yako hupewi ushirikiano ?

    Changamoto ya kupoteza simu ni ya kawaida kazi inakuja pale unapofuatilia simu yako hupewi ushirikiano na wahusika ambao ni police, mbona wao wanapoibiwa wanafustilia?
  2. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Hawa watu wanatuonaje ?
  3. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Wakati hauna mahusiano wala ndoa, hakuna mwanamke anae sogea karibu yako

    Wakati hauna mahusiano wala ndoa, hakuna mwanamke anae sogea karibu yako, lakini baada ya ndoa wanakuja wengi tena ambao huitaji kutumia nguvu nyingi kuwapata.
  4. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Mgombea wa kiti cha Urais

    Nini sifa za mgombea kiti cha uraisi nchini kwangu.
  5. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ni nani?

    utapata.
  6. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Itapiga hatua hata kama mkikaza vichwa.
  7. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Huwezi kuelewa kwa sasa ila mbeleni utaelewa tu.
  8. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Wakati unamchagua Raisi Magufuli hukumuona pembeni yake kenye picha kama mgombea mwenza ?
  9. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Huwezi kua baba wa familia halafu watoto na wake zako wanakupanda kichwani

    Iko hivi kila mzazi na mlezi hajawahi kuwaombea vibaya anao waleo. Ukiona imefika kipindi kila mmoja kwenye famila yako, ina maana wale wote unaowalisha wanakupanda kichwani jua kuna mtu nje ya nyumba yako anawapa jeuri. Siasa ya Tanzania sio ngeni machoni mwa watanzania wote walio barehe na...
  10. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi ni nani?

    Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
  11. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    Hapana, hizo hua ni hasira na malipizi kitu ambacho sio kizuri
  12. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    Ha Haya mambo si madogo kabisa
  13. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ? 3. Bunge sasa...
  14. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Hivi PSSSF kwa nini usimamizi wenu unalega lega ?

    Inauma sana
Back
Top Bottom