Mnec Goddy Mwalusamba,ni kweli ni kijana makini,maana kwanza anawapongeza Wananchi wa Arusha kwa maamuzi ya 2010,kwa maana ilikua haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kufanya maamuzi ya kuwapigia kura chadema hususan kwa ahadi zilizokua zimetolewa kwa maana zilionyesha ukombozi wa Kada zote za...
Kaka,GT si mahali pa ushabiki Wala hapatakiwi kua pa ushabiki,kwenye ukweli tuseme na tusipotoshe watu kwa ushabiki wa vyama,Tanzania kwanza vyama baadae. Jamaa wamefunika na Nape hajazomewa toka ametinga mjini.
Zikiwa zimesalia dakika za majeruhi kipenga kupulizwa,ili kujua nani mbabe wa siasa za Arusha kwa awamu hii,Katibu Itikadi na Uenezi atoboa Siri ya Dr Slaa kuwapo nje ya Nnchi na agenda Yao mpya ya Siri,Nape aliekua akishangiliwa na umati mkubwa wa wana-Themi,alikaribishwa na Mnec Wa Arusha...
Huyu anaejiita Shondola ni Yule mchumi wa kwanza shoga(w) Arusha mjini,Jina lake ni Victor wa Manispaa Ana gx 100,jamaa hula ni chakula kweli,kwa sasa amefuga ndevu kuua soo,ila ni shoga mzuri,bahasha wake anajulikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.