Recent content by Mura Wa Tata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Wassira nitakuangusha hata kama si kwa tiketi ya CCM

    Ester Bulaya ataongoza BUNDA ya Akhera. huyo msagaji hafai hata Bure.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afya ya Lowassa Mgogoro: Akimbilia Ujerumani kwa matibabu

    Na akafie huko. Maana tumechoka sasa,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wassira Ulaya Imeleta Mafanikio, Avuta Kiwanda cha Matrekta Tanzania

    Mzee yupo vizuri Sana. Binafsi nimpongeze kwa juhudi anazofanya. Mungu amtie nguvu na ikiwezekana ashike sola Afande zaidi. nakuombea Wasir
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maigizo ya Lowassa kwenye utafiti wa Positive Thinkers Tanzania - Ukweli huu hapa

    actress Lowasa on duty.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Naamini ni Tabia tu ya Mtu sio pesa wala nini. maana Hadi Mtu kuitaka urais hawezi kuwa mfupi Bali anaziheshimu taratibu za chama chake hasa kufuatia zuio la kutopiga kampeni na kuonesha nionesha nia.
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    na Mwaka huu atajiuzulu tena. Mimi najua Sana.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Vyuo Vikuu kuandamana kumshawishi Lowassa Kuchukua Form ya Urais

    huyo kibaka anataka kubaka na urais wetu. zee limetia Taifa hasara hata hakika aibu. linataka tena kutununua Rais wa CCM sio mwizi hivyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais sasa ni Live bila chenga: Ni kati ya Lowassa, Membe na Wassira

    Wasira anakuwa mwenye mvuto wa Kuwa Rais na umaarufu wake unaongezeka siku Hadi siku. kuna muda imefika sasa nimeshawishika sana na kumwona ndie pekee mwenye sifa za kuwa Rais. Huyu Mzee mwajibikaji wake, uzalendo na uaminifu unajipa muda wa kumpa kipaumbele. CCM wakimlitisha hawatateseka sana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jina langu likikatwa nitamuunga mkono mh.wasira

    kubaki CCM bila kua mwaminifu kipi vizuri!? Mzee wasira alipelekwa na wapiga kura wake na ndio maana alishinda kwa kizhindo akiwa nccr magrmeuzi... licha ya fitina za Maji, msanasheria mkuu msitaafu na waziri mkuu msitaafu kuamua kumbandika jina mbovu la Rushwa. but he z really Mr. clean
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jina langu likikatwa nitamuunga mkono mh.wasira

    Mimi Wasira nitakuunga Mkono mpaka mwisho wa pumzi yangu. nakuthamini na kuiunga Mkono kila juhudi yako. Go on to presidential post this yearpplplllppp
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jina langu likikatwa nitamuunga mkono mh.wasira

    Mimi Wasira nitakuunga Mkono mpaka mwisho wa pumzi yangu. nakuthamini na kuiunga Mkono kila juhudi yako. Go on to presidential post this year
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimejizatiti kumtoa Sitta na CCM Urambo kwa tiketi ya CHADEMA

    wewe ---- usijidanganye. hupati ubunge rudi ufundishe watoto wewe. kemia Ndo ubunge? au unadhani ni chemicals za maabara
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wadau na Wakulima wa Pamba chapata ukombozi

    Naona Zao la pamba kwa miaka ya kanda ya ziwa linashika hatamu upya. Nakuombea sana Wassira uwasaidie watu hao maana wewe ndie tegemeo lao miaka yote. Asante Mungu kwa ajili ya Wassira na tunaamini ukitangaza nia wakulima sasa ni wakati wa kukuunga Mkono ili uwatee ukiwa rais wa Jamhuri ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kikao cha Friends of Lowassa kilichofanyika Babati - Manyara

    Mimi nilimwona live Bungeni Dodoma tar. 28/1/2015 hali yake kiafya ni mbovu sana. pamoja na kuhonga mipesa, kuombewa na TB Joshua, kwenda kwa Wagana na mengoneyo naamini bado hatapata hiyo fursa maana hatutaki rais mbovu wa afy halafu jiziiiii... Mimi silipendi sana.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Nyambali Nyangwine awanyanyasa wafanyakazi wake

    Halafu kampuni ulizozitaja ni za mke wake. huu uonevu na Unafiki. hebu fanya siasa safi wewe
Back
Top Bottom