Recent content by muongozaji

  1. M

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Heaven Sent, Impressive!!! Hope mleta uzi atauzingatia inavyostahili huu ushauri! Umemaliza kila kitu mdada Heaven Sent Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Happy birthday to my soulmate Dinazarde

    Happy birthday Dinazarde. Enjoy your special day girl ! Blessings! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    A letter to my future lover

    Precisely my thoughts! Baharia kinda started on a wrong foot. Hahaha!
  4. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Wisdom at its best! Sensible people are still existing. Asante sana mkuu for such a great comment and advice as well. Barikiwa mno mkuu!
  5. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Sawa mkuu. Asante sana kwa ushauri.
  6. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Asante sana mkuu kwa kunielewa. Be blessed!
  7. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Asante kwa ushauri mkuu, bwana mkubwa. Hahaha
  8. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Basi sio Jane wewe mkuu. Asante
  9. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Aisee!!! Hapana. Hayo ni mawazo yako binafsi mkuu. Siwezi kuku-judge though. Kimsingi ni kwamba hilo sio lengo langu na haiwezekani kabisa. Haingewezekana hata kama ingekuwa kwa kipindi kile. Naamini utakuwa umenielewa mkuu!
  10. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Sio busara kukashifu watu mkuu. Halafu kuna mambo mengine katika maisha zaidi ya mapenzi. Sio wote tuko kama unavyofikiria. Tujitahidi kufikiria vitu vingine pia.
  11. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Siko huko kabisa mkuu
  12. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Aaah Meeyah. Then hiyo itamaanisha kuwa huyo mumeo atakuwa na shida nyingine na wewe. Alikuwa hakuamini au alishakuchoka in the first place. Sio kwasababu ya kuuliziwa na mtu mwingine tena bila nia yoyote ovu! Hii meseji yangu iko very clear. Namtafuta kama ndugu na rafiki tu. Ana maisha yake...
  13. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    Daah, comments za wadau ni very interesting! Tusisahau hili sio jukwaa la mapenzi wakuu. Halafu tangu 2001 mpaka leo mtu unawezaje kuwa na wazo la mapenzi? Tena kwa mtu ambaye hamjawahi kuwa na uhusiano wenye muelekeo huo?? Watu wana mawazo aisee. Hata hivyo nayaheshimu! Well, ndio diversity...
  14. M

    Msaada: Namtafuta Jane

    WanaJF, heshima kwenu. Naamini weekend inaenda vizuri. Nimekuja kwenu na ombi moja. Namtafuta dada anayeitwa Jane. Jina lake la pili nadhani ni Ossoro (Jane Ossoro!). Mara ya mwisho kupotezana na huyu dada ilikuwa mwaka 2001. Tulionana pale maeneo ya Chuo cha Afya na Tiba Muhimbili, Dar es...
Back
Top Bottom