Hili Group wachawi mshakuwa wengi.
Nimesema nimefanya oral Jana na nina nitapata kazi au kubaki kwenye database.
Watu mnaanza maneno kwahiyo mnataka nikose kazi au.
Wewe fala kasome.vizuri jamaa amelipa dollar 6500 sawa na million 17.
Aliyetaka kumbaka iryn.
Hivi million 17 mnaijua nyie.
Halfu insider akampa mlinzi elfu 50 chai chai
Mwanzoni mwa stori kuna mtu alitajiwa dau la dollar 10000 Ili afanyiwe massage
We fala hakuna tajiri asiye na gari hii dunia.
Gari kwa mwenye hela ni Luxury ila kwa masikini ni assert.
Iweje uwe tajiri kutwa kutafuta wanaume kuwafanyia massage na kushinda kwenye ki ist cha mshikaji
Bado ubongo wako.mzito.
Demu Ana appartmet ,saloon Kali,mirathi za maana,
Kutwa kuzunguka kwenye hoteli sijui kufanya massage.
Et analipwa dollar Elfu 10000.
Na hatoi uchi.
Anamlipainsider laki 3 kwa siku 3..
Hii story haina uhalisia hasa hapo kwa iryn sukari imekuwa nyingi.
Demu alitaka kubakwa kirahisi rahisi akaamua kumsamehe jamaa kwa kulipwa hela ambayo ni dollar 7500 sawa na million 18.
Mzee maisha hayako kirahisi kiivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.