Recent content by Munuo

  1. Munuo

    Jinsi ya kutag

    Munuo
  2. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Fellow introvert leo mmeenda viwanja gani kusherekea valentine na watu wenu
  3. Munuo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Miaka kumi iliyopita tayari ulikua na tablet haya hongera labda unaeza kuwa wakisure lakini Sasa mbona umetuingiza chaka mzeee MOYO MASHINE imetoka 2016 au nyie wenye tablet mliipata mapema 😂😂😂😂😂😂
  4. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Jaman leo introvert ni siku yetuu It’s January 2nd here and I just wanted to say Happy world introverts day, friends ☺️🌻💖
  5. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Hongera kwanza mku kww kumiliki nyumba za kupanga ..vipi issur ya introversion ina athiri vipi usimamiz wako kwa wapangaji .umezoeana nao kivip
  6. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Ila mimi kuna vibonde wangu nikiwakopa nawasumbua asse hadi wanajuta ila kuna wengine hapana
  7. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Mimi sikopagi asee kudai hata sijui
  8. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Vipi imeshawahi tokea tukio ambalo lilikutaka ucheze ulifanyaje Pia kwenye harusi yako umepanga kufanyaje kuhusu kucheza
  9. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    Kivip mkuu wewe unakunywa pombe vp ukishakunywa unawwza kucheza kwenye party au club
  10. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    😂😂😂😂😂😂duuh kweli kazi
  11. Munuo

    Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

    V Vp mkuu kwenye harusi yako utacheza vipi
Back
Top Bottom