Recent content by muntuh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema - MESEJI YA VITISHO ILITOKA KWA MKUU WA MKOA

    nawaambia wana wa arusha, kama mtampoteza huyu bwana lema basi mtjuta maisha yenu yote. Lema ni miongoni mwa watu wachache sana waliojitoa muhanga kuitetea sio tu arusha bali tanzania yote hasa pale anapousema ukweli na kuusimamia. Keep it up mr lema. Peopleoooooooooooooooooooooooooos...
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    yaani magamba badala ya kuwaza maendeleo wao wanawza jinsi ya kushinda uchaguzi huku madini yakiondoka na Twiga wakipanda ndege sisis tunakenua meno!!, ama kweli ukombozi bado.:yell:
  3. M

    JamiiForums Tanzania NASSARI: MAGUFULI unaweza kuwa CHADEMA

    Nassari ni noooooma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Pro.Mukandala na Dr. Ndalichako,nasubiri kujiuzuru kwenu

    hapa lazima muelewe kuwa ccm inajua kabisa kuwa inatawala nchi kwa sababu wananchi wengi hawajielewi, na ndo maana haiwapi elimu nzuri kwani kufanya hivyo ni sawa na kujikaanga kwa mafuta yake yenyewe. Hivyo kuwa na ccm madarakani tusitegemee elimu yetu kuwa nzuri, na ndo maana chadema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Mbowe na Selasini walimpongeza Rais kuwajengea barabara Kilimanjaro

    :twitch:UNAJUA KUJIPENDEKEZA KWA MH RAIS NDO KUNAKOWAHARIBU WABUNGE WA CCM. YAANI WAKO TAYARI KUSEMA ILIYO NYEUPE NI NYEUSI ILI MRADI TU ASIKIKE. SASA HUYU MAMA KILANGO AJIULIZE HIVI MAMBO YOOTE YALOAHIDIWA NA SERIKALI JIMBONI KWAKE YAMETEKELEZWA??? SASA MTU AKISEMA SERIKALI INAAHIDI HALAFU...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pro.Mukandala na Dr. Ndalichako,nasubiri kujiuzuru kwenu

    :angry:Thubutu, nani amekwambia kuna kujiuzulu hapo??? Sijui nchi hii nani alotuloga, kila kitu siasa tu, but the day will come :angry:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kitu cha Arusha

    Daima penye ukeli uwongo hukaa pembeni, hata ccm wanalijua hilo!!!! Karagabaho!!!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania hello wana JF,

    :frusty: NDO MARA YANGU YA KWANZA KUJIUNGA NA JF, HAKIKA NIMEFAIDIKA SANA, HASA JUKWAA LA SIASA, NAMI NAOMBA TUJADILI HILI SUALA, :HIVI ILE DUA INAYOSOMWA KILA SIKU BUNGENI KABLA BUNGE KUANZA, YALE MANENO YALIYOMO HUMO WABUNGE WA CCM WANAYAZINGATIA KWELI??? NAOMBENI MNIJUZE MAKAMANDA.:playball:
Back
Top Bottom